Tunaangalia motive,, yale matamshi yalikua na ulterior motive nyuma yake[emoji2955]Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Ameleta taharuki,, Tangu uzaliwe ulishaona nchi imepigwa mnada?huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.
Muulize membe... [emoji23][emoji23]Kirahisi namna hiyo kama kufukuzwa kwenye group la wahatsapp?
Hakuna nchi inauzwagwa,, huo ni uongoIla c kasema kwel au ndiyo ile uongo una nguvu ukwel ujapakuliwa
Yaani wewe ndo umesolve equation,, case closed [emoji28][emoji28]84.(7) Spika atakoma kuwa spika na ataacha kiti cha spika litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:-
a) iwapo mtu huyo alichaguliwa kutoka miongoni mwa wabunge, basi ikiwa atakoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ambayo haihusiki na kuvunjwa bunge.
Ndugai akiondolewa uanachama wa ccm anakosa sifa ya kuwa mbunge and therefore hawi sifa ya kuwa spika kwasabau amechaguliwa miongoni mwa wabunge...
Umeelewa sasa nilichokuwa namaanisha, maana watu wengine mpaka muandikiwe kwa kirefu.
Wamesahau kilichomtokea Aboud Jumbe,,,, [emoji134][emoji134]Nani atamruhusu , hivi wewe unaijua nguvu ya Rais.. Huyo speaker wako si anapigwa House Arrest anachaguliwa mwingine maisha yanaendelea.. watakwambia kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Utasema nini?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aboud jumbe alikaa house arrest miaka 20 karibu[emoji134][emoji134]Naaam, halafu anatulizwa safe house miaka miwili, nchi inasonga, hawezi kutishia usalama wa watu milioni 60 kwa tamaa zake na kukosa busara
Huo ni uoga wa madaraka.
Spika anaweza asiwe mbunge ila AWE NA SIFA ZA KUA MBUNGE,Ibara ya 84(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:
Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.
Je, mna maswali zaidi?! Naweka mkazo: mtu halazimiki kuwa mbunge ili kuwa spika wa bunge! Anayelazimika kuwa mbunge ni Naibu Spika!
Kwani wewe unaona kuna shida gani kwenye mkopo wa1.3T?Huo ni uoga wa madaraka.
Tafakarini lisemwalo na sio kulaumu kwa lengo la kumpamba aliyeko juu.
Penye ukweli pafanyiwe kazi.
Mi nadhani tatizo la upinzani ni kulazimisha mawazo yao, yawe ndo sahihi,, wakati democracy inataka pande mbili zenye mawazo tofauti, lazima kura ihusike, mawazo yatayopita kwa kura, haijalishi yawe mazuri au mabaya , maadamu yamepita upande mwingine hauna budi kuwa wapole,, hiyo inafanyika dunia nzima kuliko na demokrasia,Ninyi haya mmeyajua leo kuwa kuna mawazo mbadala, mbona upinzani wakitoa mawazo mbadala zengwe linakuwa kubwa sanaa
soma vizuri! neno sifa ya kuwa mbunge maana yake lazm uwe mwanachama wa chama fulaniSiyo kweli hakuna takwa lazima uwe mwanachama
View attachment 2065562
ndio,! ila lazma uwe mwanachama wa chama cha siasa! la sivyo angekaa hata mwanajeshi hapoUnaweza kuwa spika bila kua mbunge? [emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
NdioUnaweza kuwa spika bila kua mbunge? [emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwanini hakushauri haya kipindi cha awamu ya 5?Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Sio kweli. Speaker sio lazima awe mwanachama. Mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa mbunge anaweza kuwa speaker. Sasa mbunge sio lazima awe mwanachama. Mtu yeyote anaweza kuwa mbunge, either kupitia chama au kuteuliwaSpika ni lazima awe Mwanachama wa Chama cha Siasa ila si lazima awe Mbunge
Sio lazima, sifa za kuwa mbunge ni panoja hujawahi kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita kwa mfano. Hakuna mahali popote kuwa lazima uwe member wa chama cha siasa.Spika anaweza asiwe mbunge ila AWE NA SIFA ZA KUA MBUNGE,
Mojawapo ya sifa za kuwa mbunge, LAZIMA UWE MWANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA,, [emoji16][emoji16]
hujaelewa bado?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Aligombea uspika kama mgombea asiye na chama ama mgombea kupitia chama fulani?Kudhaminiwa na chama sio hoja, hoja ni matakwa ya mtu kuwa spika!! Kudhaminiwa na chama ndo hiyo backup ninayoisema lakini unaweza kugombea uspika hata kama huna chama!!