#COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

#COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

Mmmh umechoma chanjo bado una wasi wasi wa kuambukizwa daah
 
Huyu mpiga debe wa wachina wa bandari ya Bagamoyo akae atulie kabisa huyu andunje.
Wapiga kura wa Ndugai wamechanjwa wote? Kwa hiyo hatatembelea jimboni?
Huyu alitangaza bungeni kwamba kina mbowe warudishe pesa za bunge KISA waliienda isolation na kwamba kwa wakati ule hapakuwa na COVID 2021. Mkamshangilia sana na kutoa kila aina ya kejeli. Leo kawageuka anataka kachanjwe mnamtukana na kumuita andunje?
Mtu mweusi ana matatizo sana
 
Vipi kwa upande wako?
 
Vipi kwa upande wako?
Mm nitachanjwa wala sion sababu ya kukataa. Kama tulienda samunge na kuacha dawa za hospitali???? Tunapata wapi ujasili wa kuhoji kitu kilichotengenezwa maabara!!!! JUHA huo.
Hatujasikia mtu kuhoji juu ya ubora wa ARV?
Wala chanjo ya hospital wanazopewa watoto na kinamama.
UJUHA NDIYO SHIDA.
Mwaka 2020 maombi yamesaidia! Mwaka 2021 chanjo lazima tena watu walewale kina ndugai
 
Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom