Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Watabana wataachia.
Nani wa kuacha pesa za bwerere?
Nani wa kuacha pesa za bwerere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndani ya bungeMAANA YAKE CHANJO NI YA LAZIMA ILA NI HIARI[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Huyu alitangaza bungeni kwamba kina mbowe warudishe pesa za bunge KISA waliienda isolation na kwamba kwa wakati ule hapakuwa na COVID 2021. Mkamshangilia sana na kutoa kila aina ya kejeli. Leo kawageuka anataka kachanjwe mnamtukana na kumuita andunje?Huyu mpiga debe wa wachina wa bandari ya Bagamoyo akae atulie kabisa huyu andunje.
Wapiga kura wa Ndugai wamechanjwa wote? Kwa hiyo hatatembelea jimboni?
Vipi kwa upande wako?Huyu alitangaza bungeni kwamba kina mbowe warudishe pesa za bunge KISA waliienda isolation na kwamba kwa wakati ule hapakuwa na COVID 2021. Mkamshangilia sana na kutoa kila aina ya kejeli. Leo kawageuka anataka kachanjwe mnamtukana na kumuita andunje?
Mtu mweusi ana matatizo sana
Mm nitachanjwa wala sion sababu ya kukataa. Kama tulienda samunge na kuacha dawa za hospitali???? Tunapata wapi ujasili wa kuhoji kitu kilichotengenezwa maabara!!!! JUHA huo.Vipi kwa upande wako?
Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao.
Muda ndio hakimu mwaminifu 🤔!Utakua hujamuelewa Ndugai wewe.
Kuchanjwa ni hiari ila kuingia bungeni ni kwa waliochanjwa tu.