Uchaguzi 2020 Ndugai: "Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwl Nyerere na Karume na chama chetu CCM hatuwezi iachia Ikulu

Uchaguzi 2020 Ndugai: "Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwl Nyerere na Karume na chama chetu CCM hatuwezi iachia Ikulu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai
IMG_20200913_144459.jpg
 
"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612
Huu ni ushahidi tosha wakishapelekwa mbele ya ICC hapo mwaka kesho. Ccm endeleeni kulopoka sie tunakusanya ushahidi
 
Kumbe ni huyu dhaifu, hata anachokisema ni dhaifu pia
 
Kwani Ile Ikulu Ya Dar es salaam ilijengwa baada Ya Mwaka 1964 Baada ya Muungano?!!!

Kwani ile ikulu ya Dar es salaam ilijengwa baada ya Ujaji wa vyama vingi mwaka 1992?!!!!

Nikamkumbuka Baba Wa Taifa alisema mengi kuihusu ikulu ile,ikiwemo kuwa IKULU Ni pahala PATAKATIFU.......

Mimi ninadhani tuñgeanzia HAPO......mengine yangekuwa Rahisi mno ila kwa kuwa KIPINDI CHA KAMPENI mh.Lissu anaongea yake...ajisikiayo....mh.Ndugai anaongea Yake....ajisikiayo.....Mh.Mbowe anaongea Yake ajisikiayo..........mh.mzee Makamba anaongea Yake...ajisikiayo....

Kampeni Ni Raha buanaa
Kampeni Ni Maneno HASWAAAA😁😁😁
 
Kumbe ni huyu dhaifu, hata anachokisema ni dhaifu pia
Huyu ndo yuko mwenye team ya Meko ya kuhakikisha bunge linajaa wana CCM na wanabadirisha katiba ili meko aongoze Tanzania hadi atakapokufa!!!

Pale Ccm kwa sasa ni mmoja was watu wenye nguvu sana na ni kwa sababu ndo the main person behind mpango huo!! Kina Bashiru hawa ni vidampa tu na hawana sauti yeyote!!
 
Leo amekunywa dawa zake za ARV? Maana huyu andunje asipokunywa hizo dawa zake akili yake inapotea
 
Mimi si maskini, Nina sehemu ya kulala Dar na usafiri na nina miaka 33 tu. Sema tu Watanzania wengi ni maskini na mafukara. Hali hii imesababishwa na CCM.
Basi wafundishe wenzio jinsi ya kupata pa kulala na usafiri kuliko kulalama!
 
"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612
Huyu jamaa siyo mzima kichwani.
Mliopo karibu nae mwambieni ikulu inaachwa, kuna siku atakufa wala hatozikwa ikulu bali Kongwa na ataliwa na funza.
Mpumbavu sana huyu!
 
Back
Top Bottom