Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Lini na wapi walisema kuwa wakishika nchi haitakalika?Chadema husema wakishika madaraka Nchi haitakalika
Wengine tuna ndugu wazee na wagonjwa hatuna pa kuwapeleka Chadema wakianzisha vita
Nataka ni ushahidi ukiwa na supportive evidence wa kauli unayodai walitoa chadema.