mkuu ukifiria kwa kutumia mabataksi utagundua mchizi yuko sahihi.Hizo ndizo sera zenu kwa wananchi wasioelimika. Kila unapokuja uchaguzi mnawalubuni.
Yaani CHADEMA wakalie Ikulu then waanzishe vita!!!??
Pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Mimi nimepata kwakuwa ni mwajiriwa na ofisi yetu ina marupurupu kidogo. Sasa ajira zenyewe Mzee Magufuli hatoi tawafunfisha nini?Basi wafundishe wenzio jinsi ya kupata pa kulala na usafiri kuliko kulalama!
Natabiri hawa jamaa utokaji wao wa madarakani utakuwa kwa upanga!"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612
Unajua unapokosea. Ni ku assume kuwe watanzania wote wanawaza kama ww.Kuchagua upinzani ni kuchagua vita, sisi Watanzania tunaipenda Ccm ina Amani
Ikulu ni mali ya watanzania. Watanzania ndio wamiliki halisi wa nchi yao . Na si chama chochote cha siasaJob yuko sahihi ikulu ni mali ya ccm yenu ipo ufipa
Hivi maneno haya hatwezi kutumika kuwashtaki?Haya maneno yanaweza kutumika wakati mpo mbele ya baraza la haki.
Huna akili wewe kilaza buku7.Job yuko sahihi ikulu ni mali ya ccm yenu ipo ufipa
Tangu uvunje ungo huna akili kabisa akiliz zako zipo kwa mmeoHuna akili wewe kilaza buku7.
Hivi maneno haya hatwezi kutumika kuwashtaki?
Sio mtu, Taifa ambalo ndio linalotumia fedha na raslimali kwa ajili ya uchaguzi ndio linalopoteza fedha na nguvu bure, wananchi mnaotumia muda wenu na nguvu zenu kuwapamba wanasiasa wakati wa kampeni, nyote mnapoteza nguvu zenu bure!Aiseee....kwamba kuna mtu anapoteza muda,fedha na nguvu bure....
Haya ni maneno ya mtu aliyechoka hatumii akili yake, yaani hajui hili wala lile. Huyu ni moja ya watu wanaotumika kuiharibu nchi hii. Wajaribu kuenzi haya aone kitakachomkuta yeye na wachumia tumbo wenzake"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612
Sawa....[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Sio mtu, Taifa ambalo ndio linalotumia fedha na raslimali kwa ajili ya uchaguzi ndio linalopoteza fedha na nguvu bure, wananchi mnaotumia muda wenu na nguvu zenu kuwapamba wanasiasa wakati wa kampeni, nyote mnapoteza nguvu zenu bure!
Vv
Hapa ndo viongozi wangu wanapokosea kwani Nchi hii ni ya Wananchi sio ya Viongozi. Hizi kauli sio nzuri kutamkwa na Spika Mstaafuu kiongozi wa kutunga sheria za Nchi. Wananchi wataanza kumwelewa Lisu pale atakapotoa kauli baada ya tarehe 28/10/2020 kwani hii kauli inamwongezea nguvu zaidi. Viongozi wangu watadhimini majira , zama na"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612
Ngoja wanainchi wachague upinzani halafu mkatalie huko ikuru ndipo mtajua hii inchi sio Mali ya ccm"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612
Apuuzwe tu"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai View attachment 1568612