Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

Kwamba

Ukiijiwa na wastaafu na maaskofu NYUMBANI kwako wakakushauri JAMBO fanta kama walivokuelekeza!

Ndugai angeeenda KWA Baba mwenyezi mapema SANA!!

Hivyo tu!!

Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
 
Kwa hiyo kumbe ile barua ya kujiuzulu Ndugai aliandika mwenyewe, hakuandikiwa, lakini hata kama alishauriwa kujiuzulu na Mzee Malecela nae akakubali, hakukubali kwa moyo mmoja, ndio maana ile picha aliyopiga na Samia iliongea mengi sana.
 
Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
Yaani we jamaa una shida sana,unaweza sema Uongozi mbovu umeanza na Magufuli. Hivi udhalimu wa JK huuoni?Nachoamini Magufuli alikufanya kitu kibaya sana maana sio kwa chuki hii.We inaonesha ulikua Vyeti fake au ulitumbuliwa au ndugu yako uliyemtegemea alifanyiwa hayo mawili. Ungekua mfanyabiashara, risk ni kitu cha kawaida so hizo chuki zako dhidi ya Magufuli zisingekuwepo.Jitaidi kuficha chuki zako za kipumbavu, sio kila sehemu we ni chuki na Magufuli. Yaani kila mada utajitahidi Magufuli aingie na umtukane. Kuna Siasa na chuki za kipumbavu, we una chuki za kipumbavu coz umevuka SIASA. Ngekua na uwezo ngekupeleka chato ukaongee na maiti yake huenda inaweza omba Msamaha kwako.
 
Umeona! Kila siku namueleza hasikii Mpaka atinduliwe na Tindo
 
Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.

Punguza chuki kwa marehemu. Sikuambii uache chuki, bali nakuelekeza upunguze chuki dhidi ya hayati Magufuli.

Only a fool can fight with the deceased one!

-Kaveli-
 
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
Kwahiyo Le Mutuz asingekufa hii habari angekufa nayo mwenyewe
 
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.

Suala la Ndungai kujiuzulu kuna mengi nyuma ya Pazia!
Ndungai anazidi kufanya makosa, kulikuwa na haja gani ya kuropoka kuwa Mzee Malecela ndiye aliyempelekea ujumbe ajiuzulu tena kwenye msiba..?
Huyu Ndungai akae kwa kutulia, amesahau aliyoropoka “ pale” maeneo akiwa na “watoto wa mjin” eee…. Aendelee!!!
 
Back
Top Bottom