Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Mie mpaka kesho siamini ile barua iliandikwa na Ndugai mwenyewe wala kuweka sahihi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kufanya hivyo,endelea nasi tutakwambia kile tunaona hatari kwa ubongo wako,maana unaudumaza kijinga sana
Kuna kuweka sawa records na upumbavu. Jitaidi kuficha chuki za kipumbavu muda mwingine. We Unafikiri huu upumbavu unaofanya humu huko mtaani unaweza eleweka?Records sawa ungeanzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa,JK na umalizie Magufuli. Kupambana na Magufuli kila post ni chuki za kipumbavu na sio records sawa.Ukisema Magufuli aliua watu,ili uwe OBJECTIVE inatakiwa umtaje na JK pia coz kaua wa kutosha pia, kateka wa kutosha pia.Hakuna uchafu unaouongelea kwa Magufuli JK hajafanya. Magufuli Magufuli Magufuli vipi alikuachia ujauzito kiasi chuki iwe kubwa hivi?BADILIKA MKUU,HUU SIO UUNGWANA.Tunaweka record sawa asitokee dhalimu wa aina ile, hutaki jinyonge.
Huwekwi ignored list, utakua unapopolewa tu humu ukileta upumbavu. Nafikiri umeona watu wanavyokupopoa. Kuna mambo inatakiwa urudi nyuma na kutafakari. We umeahama kwenye SIASA na uko kwenye chuki.Kwa akili yako kila mtu akianza kuhubiri chuki kama zako tutafika?Vumilia tu au niweke kwenye ignore list, vinginevyo utakereka sana.
Dhalimu yoyote ni wa kumsagia kunguni tu.
Huyu jamaa ni kero sana.Yaani kila post atajitahidi aingize habari za Magufuli na akashifu.Hakuna post asiyomkashifu Magufuli.
Muongo ndugai ulijiuzulu kwa sababu wenzako bungeni walipoteza imani na wewe na walikuwa tayari kupiga kura ya kutokuwa na imani na wewe na ulikwenda ikulu kuomba radhi Rais Samia akakukatalia kwa hivyo ukawa huna pa kutokea.".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."
Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
Nimejikita kwenye udhalimu wa awamu hiyo. Kuna tatizo kwenye hilo?Kila regime ina udhalimu wake. Be impartial.
-Kaveli-
Huwekwi ignored list, utakua unapopolewa tu humu ukileta upumbavu. Nafikiri umeona watu wanavyokupopoa. Kuna mambo inatakiwa urudi nyuma na kutafakari. We umeahama kwenye SIASA na uko kwenye chuki.Kwa akili yako kila mtu akianza kuhubiri chuki kama zako tutafika?
Lipumbavu sana hilo bwege.Yaani we jamaa una shida sana,unaweza sema Uongozi mbovu umeanza na Magufuli. Hivi udhalimu wa JK huuoni?Nachoamini Magufuli alikufanya kitu kibaya sana maana sio kwa chuki hii.We inaonesha ulikua Vyeti fake au ulitumbuliwa au ndugu yako uliyemtegemea alifanyiwa hayo mawili. Ungekua mfanyabiashara, risk ni kitu cha kawaida so hizo chuki zako dhidi ya Magufuli zisingekuwepo.Jitaidi kuficha chuki zako za kipumbavu, sio kila sehemu we ni chuki na Magufuli. Yaani kila mada utajitahidi Magufuli aingie na umtukane. Kuna Siasa na chuki za kipumbavu, we una chuki za kipumbavu coz umevuka SIASA. Ngekua na uwezo ngekupeleka chato ukaongee na maiti yake huenda inaweza omba Msamaha kwako.
Hakuna mjinga zaidi ya wewe unaeita mwenziyo mjinga. Kila mtu anatafsiri yake ya mambo. Huo unaouita udharimu ulilinda mali za watanzania kwa nguvu zao na kuweka rehani maisha yao na ya familia zao. But kwako ni udharimu na uko sahihi tu kama nilivyisema hapo juu.Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
Kuna mawili-matatu kupitia comments zako:Tunaweka record sawa asitokee dhalimu wa aina ile, hutaki jinyonge.
Niguse ninukeUkikonnect dots utagundua kuwa hata kile kitendo cha Kadinali Jento wa FM Academia 'Wajela hela' na yule Askofu kumfuata Membe wakimwombea msamaha Musiba kulikuwa siyo kwa kawaida.
Le Cardinal na Bishops kwanini hamkumwambia Membe yaliyokuwa yanamjia huku mkijua? Kwanini hamkumwambia 'Kuna genge limejipanga kukumaliza usipomsamehe Musiba. Msemehe tu na upotezee'. Viongozi wa dini wanafiki nyie.
Hapo kwenye akili naungana nawewe, nadhani ni akili na ushamba pia vyote vinamsumbua huyo mtu.Mi namwonaga kama akili yake haiko sawa, pengine kibarua kiliota nyasi sasa hana mshahara hivyo akapatwa na ugonjwa wa akili.