Kwamba
Ukiijiwa na wastaafu na maaskofu NYUMBANI kwako wakakushauri JAMBO fanta kama walivokuelekeza!
Ndugai angeeenda KWA Baba mwenyezi mapema SANA!!
Hivyo tu!!
Ujinga wake ni nini na leo yupo hai kwa kuukubali ushauri!?Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
Si alijiwekea kinga ya kutoshtakiwa, sasa aliogopa nini. Mwanaume mzima anaogopa mwanamke?Ujinga wake ni nini na leo yupo hai kwa kuukubali ushauri!?
Labda watamwendea wakili wake kwa sasaKesi ya madai....iko palepale.....
Yaani we jamaa una shida sana,unaweza sema Uongozi mbovu umeanza na Magufuli. Hivi udhalimu wa JK huuoni?Nachoamini Magufuli alikufanya kitu kibaya sana maana sio kwa chuki hii.We inaonesha ulikua Vyeti fake au ulitumbuliwa au ndugu yako uliyemtegemea alifanyiwa hayo mawili. Ungekua mfanyabiashara, risk ni kitu cha kawaida so hizo chuki zako dhidi ya Magufuli zisingekuwepo.Jitaidi kuficha chuki zako za kipumbavu, sio kila sehemu we ni chuki na Magufuli. Yaani kila mada utajitahidi Magufuli aingie na umtukane. Kuna Siasa na chuki za kipumbavu, we una chuki za kipumbavu coz umevuka SIASA. Ngekua na uwezo ngekupeleka chato ukaongee na maiti yake huenda inaweza omba Msamaha kwako.Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
Umeona! Kila siku namueleza hasikii Mpaka atinduliwe na TindoYaani we jamaa una shida sana,unaweza sema Uongozi mbovu umeanza na Magufuli. Hivi udhalimu wa JK huuoni?Nachoamini Magufuli alikufanya kitu kibaya sana maana sio kwa chuki hii.We inaonesha ulikua Vyeti fake au ulitumbuliwa au ndugu yako uliyemtegemea alifanyiwa hayo mawili. Ungekua mfanyabiashara, risk ni kitu cha kawaida so hizo chuki zako dhidi ya Magufuli zisingekuwepo.Jitaidi kuficha chuki zako za kipumbavu, sio kila sehemu we ni chuki na Magufuli. Yaani kila mada utajitahidi Magufuli aingie na umtukane. Kuna Siasa na chuki za kipumbavu, we una chuki za kipumbavu coz umevuka SIASA. Ngekua na uwezo ngekupeleka chato ukaongee na maiti yake huenda inaweza omba Msamaha kwako.
Acha kufuatilia maisha binafsi ya watu.Halafu kwa nini Lemutuz hajazikwa kwenye nyumbani kwa Melecela,pali walipozikwa mke wa malecela na wanae?Au lemetuz kaenda kuzikwa kwenye eneo lake alilopewa na Baba yake?
Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
Kwahiyo Le Mutuz asingekufa hii habari angekufa nayo mwenyewe".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."
Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
VYETI FEKI VINAKUSUMBUA.Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."
Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.