Mimi sio msemaji wa taasisi yoyote, hivyo naongea mimi as individual, ama ulitakaje boss.
Ninamashaka hata na hizo barua walizokua wanamtumia, [emoji40][emoji855]Ukikonnect dots utagundua kuwa hata kile kitendo cha Kadinali Jento wa FM Academia 'Wajela hela' na yule Askofu kumfuata Membe wakimwombea msamaha Musiba kulikuwa siyo kwa kawaida.
Le Cardinal na Bishops kwanini hamkumwambia Membe yaliyokuwa yanamjia huku mkijua? Kwanini hamkumwambia 'Kuna genge limejipanga kukumaliza usipomsamehe Musiba. Msemehe tu na upotezee'. Viongozi wa dini wanafiki nyie.
Hayaaa[emoji1787]Baadae warithi wataambiwa kwamba achaneni na hii kesi, yatawakuta kuliko ya baba. Mchezo unakuwa umeisha
muongezee sauti mmeoHiki kilio ni wazi ww ama nyinyi ndio mna matatizo, kwanini usipuuze uendelee na mijadala mingine maana ipo mingi?! Nyie mliofaidika na ulevi wake wa madaraka ndio mnatushangaa baadhi yetu tuliona hayuko sahihi na hakustahili kuwa rais, haswa kwa katiba inayomfanya rais kuwa Mungu mtu kama yetu.
Nitafute attention kupitia Magu kwani alikuwa rais wa Marekani? Au kwakuwa nyie mlikuwa mnamuona Mungu basi kila mtu anamsujudia? Hili suala la vyeti ni bora hata mkae kimya, maana yeye alikuwa na PhD yenye utata mtupu, na hili liko wazi. Isitoshe kama ni vyeti fake bado hakuliendesha kwa haki kwani lilijaa double standard ya ajabu, maana aliiacha taasisi nyingi hasa za ulinzi na usalama bila kuwapigia, na huko vyeti fake viko kibao. Ifahamike haya kuhusu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa na tuhuma ya vyeti fake, na alikuwa anajibu kwa kejeli kuhusu suala hilo. Kwahiyo hakukuwa na suala la vyeti fake bali uonevu. Isitoshe mimi hata ningekuwa na cheti fake isingekuwa tatizo maana sio mtumwa wa ajira za serikali kama ww. Sauti inatosha au niongeze?
Nilidhani unachukizwa na uwepo wa Magufuli kuendelea na urais wakati ule na nikadhani kufa kwa Magufuli na kutokuwepo tena katika nafasi ya urais basi huko kuchukizwa kutaisha. Lakini moto bado ni uleule mkuu kana kwamba hakuna kilichobadilika kama vile Magufuli bado yupo Ikulu.Nyie ndio mnaojiliza, na inaonekana we ni bendera fuata upepo maana kila mtu anayemtaja dhalimu in a negative way wote husema ni cheti fake, na nyie mnaomsifia wote mna vyeti halali vya Havard University ,😂😂. Nikupe ushauri wa bure, we kaa kwa kutulia maana ukifuatilia ninachopost utakwazika bure, maana wewe ni mtumwa wa ajira.
Umekuja na marking scheme nini boss?Hujajibu swali. Kama hujaelewa swali, narudia swali:
Kujikita kwako huko kupambana na udhalimu wa awamu ya tano pekee ya hayati Magufuli, kunakusaidia nini?
-Kaveli-
Kwa mujibu wa Bible shetani ameshafurushwa mbinguni, lakini hadi leo bado anasagiwa kunguni tu. Itakuwa dhalimu?Nilidhani unachukizwa na uwepo wa Magufuli kuendelea na urais wakati ule na nikadhani kufa kwa Magufuli na kutokuwepo tena katika nafasi ya urais basi huko kuchukizwa kutaisha. Lakini moto bado ni uleule mkuu kana kwamba hakuna kilichobadilika kama vile Magufuli bado yupo Ikulu.
Ana chuki za kipumbavu sana.Ni mpumbavu tu anaweza kupambana na marehemu masaa 24 jamii forum.Nilidhani unachukizwa na uwepo wa Magufuli kuendelea na urais wakati ule na nikadhani kufa kwa Magufuli na kutokuwepo tena katika nafasi ya urais basi huko kuchukizwa kutaisha. Lakini moto bado ni uleule mkuu kana kwamba hakuna kilichobadilika kama vile Magufuli bado yupo Ikulu.
Huyu jamaa huwezi mkuta anaongelea miili iliyookotwa Tanga au Mbeya.Ye kichwa chake kimejaa Magufuli alikua dhalimu. Ukifuatilia kwa akili huyu ni muhanga mkubwa sana wa Magufuli direct or indirect. Mpumbavu ni yule personal issue zake anapenda kuzipeleka public. Ingekua tu ni kwa maslai ya Taifa asingekua anabehave hivi,angejua kuna kundi pia lina mtazamo tofauti.Sasa yeye kazi yake ni kuvamia kila post na kucomment Magufuli alikua dhalimu, thread imuhusu au usimuhusu Magufuli ye lazima acomment Magufuli alikua dhalimu.Kuna mawili-matatu kupitia comments zako:
1. Unatafuta attention kupitia JPM, usikike, watu wakusome wajue una chuki binafsi na marehemu.
2.. Umepatwa na shida ya akili, umekuwa too obsessed na marehemu yaani huwezi kuandika kitu usiuseme ubaya wake, obsession ya kijinga sana.
3. Alikutumbua, alitumbua watu wa karibu yako, alizima ndoto zako kupitia illegal business ulizokuwa unafanya, haupo sawa kisaikolojia hata kama ni attention unatafuta.
Huyu jamaa huwezi mkuta anaongelea miili iliyookotwa Tanga au Mbeya.Ye kichwa chake kimejaa Magufuli alikua dhalimu. Ukifuatilia kwa akili huyu ni muhanga mkubwa sana wa Magufuli direct or indirect. Mpumbavu ni yule personal issue zake anapenda kuzipeleka public. Ingekua tu ni kwa maslai ya Taifa asingekua anabehave hivi,angejua kuna kundi pia lina mtazamo tofauti.Sasa yeye kazi yake ni kuvamia kila post na kucomment Magufuli alikua dhalimu, thread imuhusu au usimuhusu Magufuli ye lazima acomment Magufuli alikua dhalimu.
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."
Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
Ulishawahi kusoma mada za mtu anayejitambulisha humu kama kulwa jilala au eltwege?Yaani we jamaa una shida sana,unaweza sema Uongozi mbovu umeanza na Magufuli. Hivi udhalimu wa JK huuoni?Nachoamini Magufuli alikufanya kitu kibaya sana maana sio kwa chuki hii.We inaonesha ulikua Vyeti fake au ulitumbuliwa au ndugu yako uliyemtegemea alifanyiwa hayo mawili. Ungekua mfanyabiashara, risk ni kitu cha kawaida so hizo chuki zako dhidi ya Magufuli zisingekuwepo.Jitaidi kuficha chuki zako za kipumbavu, sio kila sehemu we ni chuki na Magufuli. Yaani kila mada utajitahidi Magufuli aingie na umtukane. Kuna Siasa na chuki za kipumbavu, we una chuki za kipumbavu coz umevuka SIASA. Ngekua na uwezo ngekupeleka chato ukaongee na maiti yake huenda inaweza omba Msamaha kwako.
Shetani bado yupo hai hadi sasa na anaendelea kufanya kazi ya kupoteza watu na ndio kazi yake hadi sasa.Kwa mujibu wa Bible shetani ameshafurushwa mbinguni, lakini hadi leo bado anasagiwa kunguni tu. Itakuwa dhalimu?
Je wee ukitangulia kabla ya waoIkitokezea mzee Malecela katangulia kabla ya Ndugai, atatoa hadithi gani nyengine?
Comments zako zinadhihirisha kwamba unamchukia JPM kwa sababu alipinga Ushoga waziwazi. Wewe ni shogaKwa mujibu wa Bible shetani ameshafurushwa mbinguni, lakini hadi leo bado anasagiwa kunguni tu. Itakuwa dhalimu?