Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali
Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla ya boko lake la juzi kuhusu mikopo - wheter alikuwa sahihi or wrong siyo hoja hapa
Mimi nahoji tu nni kimetokea mbona ghafla Mzee wa Joho la Mikorosho haonekani Ikulu badala yake anazoza tu mtaani?
Nyumbani kwa ndugu wa marehemu kunafuka moshi, jambo la heri!