Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Aliyesababisha serikali na rais wafanye wanavyotaka ni Ndugai mwenyewe baada ya bunge na speaker kuanza kupokea maigizo ya rais badala ya join kuisimamia serikali, serikali ndiyo ikaanza kulisimamia na kuliagiza bunge.

Spika Ndugai ndiye aliyesababisha serikali iwe ya udikteta baada ya Ndugai kupokea maigizo kutoka kwa rais ya kuwashughulikia wabunge bungeni naye akayatekeleza.

Kama Spika Ndugai angekuwa na akili walau kidogo tu angewaomba radhi watanzania ndipo afanye hizi uturn zake.

Nje ya hapo Ndugai alikuwa mnufaika wa uhalifu wa serikali ya awamu ya tano kama si mshirika muhimu katika uhalifu huo.
 
Ndugai ndiyo tatizo kuu lililochangia kwa kiasi kikubwa sana nchi hii kushikiliwa na genge la wezi na wahalifu.
 
Ndugai siyo kwamba ni selfish tu bali his reasoning capacity is next to none.
 
Tulikuwa tuh,unaanzisha route ya chato na ATCL abiria wenyewe kumi tuh,kwann msipate hasara,upuuz kabisa huu...

Na alikuwa hataki watu wasenge,hovyo kabisa
 
Nilishasema biashara ya ndege itakuwa biashara kichaa. Hata bila korona kutusua ingekuwa ngumu

Labda kama tulinunua ili kama taifa nasisi tuwe nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…