Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania Lissu kumbe waongo tu.Shida yako ipi kwani?
Watu wema hawajaisha DUNIANI hakika barikiwa mkuu.Pamoja na umasikini nilonao wakati wowote siku yoyote nikisikia Lissu anahitaji msaada wa kuchangiwa fedha hakika nitatoa whether by hook or crook huu Upendo nilonao kwa Lissu ni zaidi ya Shuntama au Lukomolo na hakuna Panya wa jibwa lolote la kuniletea fyokofyoko.
Mwana unaroho mbaya duuuSina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.
Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
We ni miongoni mwa wale wasiojulikana. Nani aliyetangaza hadharani kuwa Mh Lissu ana madeni? Sasa kwanini asimalizie kazi yake?Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.
Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
Hapana mwana
Sijasema madeni naomba nisisitize tena madai kama yapo lissu ndio aseme ili kama kuchangia achangiweWe ni miongoni mwa wale wasiojulikana. Nani aliyetangaza hadharani kuwa Mh Lissu ana madeni?? Sasa kwanini asimalizie kazi yake?? Niko tayari kuchangia hata kama ni BUKU. Hizo zenu nyingi kanunulieni risasi mtushambulie siku ile tutakapompokea Shujaa wetu wa mauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nisimuulize spika alienzisha hoja Leo nimuulize lisu pia spika ana mandate ya kupata taarifa hizo kuliko lisu tumia hata akili ndogo ya kukatia kucha basi.🤣🤣
Ndio tatizo la Bavicha wenzangu, tukisema ukweli tunaonekana wasaliti wa chama
Kwa akili yako ya kibavicha, hujui jinsi ya kuwasiliana au kumpata spika?Wew
Yani nisimuulize spika alienzisha hoja Leo nimuulize lisu pia spika ana mandate ya kupata taarifa hizo kuliko lisu tumia hata akili ndogo ya kukatia kucha basi.
Mikwara mingi mwisho wa siku mnachanga milioniSasa sisi watanzania ni watu wenye huruma na upendo hatupendi kuona mtu anapata tabu wakati tunaweza kumsaidia.
Haya nenda kapige KIRUNGU maana mwenzako kavuta 300 million na zaidi anajivinjari nazo UBELGIJI.Kwani akiulizwa mh spika wewe sehemu gani ya mwili inawasha ili ukunwe?
Kitu kinachotucost watanzania ni mahaba.....kama spika kakosea tumrekebishe..Haya nenda kapige KIRUNGU maana mwenzako kavuta 300 million na zaidi anajivinjari nazo UBELGIJI.
Na kama unataka kumchangia spika kasema ana deni la 70 million, unachangia ngapi?
Kwaiyo spika kakosea nini? Na lissu kapatia?Kitu kinachotucost watanzania ni mahaba.....kama spika kakosea tumrekebishe..