We wewe ndo unakosa kujua.Aliposema anadaiwa madeni mengi si yeye ni mtunza mahesabu ya fedha.Ayaweke hadharani.Elewa unachosema humu.Una lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?

Unamfahamu aliye mtibu Lissu baada ya kupigwa risasi?Hapana mwana
Ila unafiki wakufanya kumjali lissu kumbe unafiki tu, kwani suala la lissu kuhitaji pesa limeanza leo?
Aliposema lissu anadaiwa ndo alipewa uhasibu kwa muda?Una lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Kwani lissu alisema yeye kama anadaiwa au yule bwana asiye na vidole vya miguu?..mbona kama linakuuma sana hili?Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.
Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
Itakuwa mfereji wa Suez unamuwasha huyu akunwe kidogo apate kutuliaKwani akiulizwa mh spika wewe sehemu gani ya mwili inawasha ili ukunwe?
Asa unafki unatokea wapi kwamba huamini kama TUNAWEZA mchangia au unawashwa nn labda sisi kutaka kumchangia??Hapana mwana
Ila unafiki wakufanya kumjali lissu kumbe unafiki tu, kwani suala la lissu kuhitaji pesa limeanza leo?
Aloanzisha kusema ndo amalizie hayo madeni mengi ni shilingi ngapi watu walipeSijasema madeni naomba nisisitize tena madai kama yapo lissu ndio aseme ili kama kuchangia achangiwe
BAVICHA mwenzako nani?...hakuna bavicha mwenye urojo ulionao kichwani[emoji1787][emoji1787]
Ndio tatizo la Bavicha wenzangu, tukisema ukweli tunaonekana wasaliti wa chama
Daah humu hamna KITU...si pa kujadiliana napo..kichwa empty.Kwa akili yako ya kibavicha,hujui jinsi ya kuwasiliana au kumpata spika?
Ndo ishachangwa tena hata kama buku 5 mzee.Mikwara mingi mwisho wa siku mnachanga milioni
Mjinga hurekebishika bt MPUMBAVU ni ngumu bora tukaendelea na mambo mengine tu.Kitu kinachotucost watanzania ni mahaba.....kama spika kakosea tumrekebishe..
Kwani spika hana madeni?..na yeye aweke yake hadharani kama anaona ni heshima.Kwaiyo spika kakosea nini? Na lissu kapatia?
Hakuwa na sababu ya Lissu kusema kwani kama mbunge kukopa haikuwa jambo la ajabu na alikuwa na stahili zake ziwezazo kulipia madeni hayo.Sijasema madeni naomba nisisitize tena madai kama yapo lissu ndio aseme ili kama kuchangia achangiwe
Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.
Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
Soma tena nadhani hujamuelewa mtoa madaUna lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Kivipi Lissu hana mandate ya kupata taarifa zake kutoka bungeni mkuu? Naomba kueleweshwa.Wew
Wewe Ni mpuuzi Yani nisimuulize spika alienzisha hoja Leo nimuulize lisu pia spika ana mandate ya kupata taarifa hizo kuliko lisu tumia hata akili ndogo ya kukatia kucha basi.