Ndugai tupe madeni ya Lissu yote tutamlipia, sisi bado tunaguswa na yaliyomkuta

Ndugai tupe madeni ya Lissu yote tutamlipia, sisi bado tunaguswa na yaliyomkuta

Una lolote

Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Hatuna madeni yake yale ya kutibiwa tulijaribu kumchangia .....ila spika inaonekana ndo kazi yake sababu kuna kipindi alitaja hadi madeni ya lema ....tuibie siri kutoka kwa huyo mtaja madeni bhana acha karoho cha kikorosho mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika alidhani anamuumbua Mh. Lissu kumbe ndiyo anazidi kumfanya ahurumiwe.
Mahaba yakizidi unapoteza hata muelekeo wa kufikiri. Ulitakiwa kumshauri Lissu aacha kutumia matatizo yake kuwa huruma ya Watanzania. Anajua anapendwa kwanini aseme uongo wakati anajua kuna vithibitisho? Huko nyuma alihojiwa na BBC kwa personal vendetta zake alishindwa hata ku acknowledge mambo yanayofanywa na serikali.

Wanahabari wa UK siyo kama kina Mayalla ama Kabendera. Wanakuhoji huku wakiwa wamesha research. Zile media interviewd kama angezitumia vizuri kwasasa vyombo vingi na hata serikali nyingi zinge msupport lakini yeye pamoja na u somi anashindwa kuutumia mwanya vizuri.

Ninajua ni binadamu pengine hata mimi ningefanya hivyo lakini hii haisaidii kabisa kwake kuendelea kudanganya kuna siku hao wanahabari wanazipata hizi documents ataishia kuwa kama Morgan wa Zimbabwe
 
Una lolote

Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?

Kama sio muhasibu wa bunge kimbelembele cha kusema Lisu anadaiwa kakitoa wapi? Au ni kujipendekeza tu kwakuwa ameshajua jiwe anamfagilia yoyote anayemsema Lisu vibaya ili kuua soo ya kuagiza auwawe?
 
Mikwara mingi mwisho wa siku mnachanga milioni

Watu hawachangi kumaliza deni, bali wanachangia walichonacho, wakichangia milion, iliyobaki itaendelea kulipwa taratibu. Hata serekali ina deni, nini Lisu?
 
Mkirindi,
Mwanzoni nilikuwa najua ww ni mwanaume, ila kwa post hii nimejua ww ni yale machangudoa ya Mwananyamala yanayoshinda na Madera bila kuvaa kifunika mbunye. Mleta uzi yuko huru kutoa uzi wake popote na atakavyo. Ukiona hajapata wasiliana na Lissu ww kisha uanzishe uzi wako ww.
 
Sijasema madeni naomba nisisitize tena madai kama yapo lissu ndio aseme ili kama kuchangia achangiwe

Kuna kila dalili kuwa hata hujui unaandika kujibu ama kutetea nini....

å Ni kama vile huna taarifa za kutosha juu ya msingi wa mjadala huu ulioanzishwa na ndugu huyu...

å Ni kama vile huelewi Spika Ndugai alisema nini juu ya Tundu Lissu...

Nakushauri uitafute video clip ya maelezo ya Spika Ndugai itazame na kuisikiliza kwa umakini....

å Halafu ukishaitazama na kusikiliza alichoongea, rudi hapa kisha l
Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.

Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
Una lolote

Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?

member: 206030"]
Haya nenda kapige KIRUNGU maana mwenzako kavuta 300 million na zaidi anajivinjari nazo UBELGIJI.

Na kama unataka kumchangia spika kasema ana deni la 70 million, unachangia ngapi?
[/QUOTE]

inganisha na unachoandika hapa uone kama vinahusiana....!!
 
superbug,
Hawa akina Ndugai hawajakoma tu. Bado wanaendelea kuijaribu Nguvu ya Lissu. Watoe account tumchangie hadi bilioni Moja.


LISSU NI CHAGUO LA WANANCHI WA TANZANIA.

ASIYEPENDA AKAJINYONGE TU.
 
Mizuka ya bavicha hii.
Michango mliyokuwa mnamtolea alipokuwa analia mbele ya tz imefika wapi?

Michango ilitolewa kwa uwezo wachangiaji, na wala haikutolewa ili kumaliza deni. Hata nchi yetu huwa kunatokea majanga, na wananchi wenye mapenzi mema huwa wanachanga kwa uwezo wao, na hakuna siku yoyote waliwahi kuchanga na kumaliza tatizo kwa 100%.

Na haijawahi kutokea eti kwakuwa majanga ya mwanzo haya kuchangiwa kwa 100%, basi lilitokea janga lingine wakaacha kujitoa. Je una jingine?
 
Kuna maswali fikirishi hapo:

Je hizo fedha alilipwa na nani?
Je ziliidhinishwa na nani?
Je zilifuata utaratibu?
Je ilikuwa ni stahili zake au hapana?

Je mifumo yetu ya kudhibiti fedha za matumizi ya umma zikoje?

Ikithibitika kuwa haikuwa stahili yake Je tatizo katika kutolewa hizo fedha ni mgonjwa Lissu au walompatia ?

Je kuna watz wengine ambao waliwahi kuugua na kutumia fedha za umma kuliko hizo zinasemwa kutolewa kwa huyo Lissu?

N.k

Naomba majibu kisha niendelee kuchambua mada.

Nataka kuitendea hii mada haki!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom