Mbona hujamchangia hadi sasa hivi mpaka alikimbilia USA kuomba fees.za.watoto.wake?Pamoja na umasikini nilonao wakati wowote siku yoyote nikisikia Lissu anahitaji msaada wa kuchangiwa fedha hakika nitatoa whether by hook or crook huu Upendo nilonao kwa Lissu ni zaidi ya Shuntama au Lukomolo na hakuna Panya wa jibwa lolote la kuniletea fyokofyoko.
Tatizo huna uwezo wa kutafsiri lugha ya picha. Ni mjinga bin zuzu.
tutamuchangia alipe deni kama anadaiwaUna lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Kila la kheri mkuu.tutamuchangia alipe deni kama anadaiwa
Sina lingine tuendelee kumchangia lissuSpika kapatia, na Lissu kakosea, una jingine?
MuhasibuKama sio muhasibu wa bunge kimbelembele cha kusema Lisu anadaiwa kakitoa wapi? Au ni kujipendekeza tu kwakuwa ameshajua jiwe anamfagilia yoyote anayemsema Lisu vibaya ili kuua soo ya kuagiza auwawe?
Chuki gani?Aliyeamua kuyasema ndiye tunataka atuambie,tunafahamu ndugai anaonesha chuki ya wazi kwa lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki gani?
Kama ajachukua 300 million na zaidi akanushe, tujue mbivu na mbichi
Mh. Ndugai tumesikia ukisema Lissu ana madeni mengi na kwamba akija atayakuta yanamsubiri. Ni vema kwamba umeamua kumtangaza manusura wa kifo au mauaji.
Sasa sisi Watanzania ni watu wenye huruma na upendo hatupendi kuona mtu anapata tabu wakati tunaweza kumsaidia.
Kama tulivyowachangia viongozi wa Chadema waliopigwa mamilioni ya hela kutumia usanii wa kisheria pia hatutashindwa kumchangia Lissu. Tuambie lisu anadaiwa kiasi gani tutachanga pamoja na shida zetu.
Lissu hakutaka kuuwawa tunajua asingepigwa risasi angelipa madeni hayo ila kwakuwa alikoswakoswa kuuwawa ndio maana alishindwa kulipa madeni hayo.
Mh ndugai tunaomba Deni lote la Lissu Mungu aliemponya na mauti atamsimamia katika mapito yake.
Lissu amini Watanzania wanakupenda sana, tena sana.
Unalipwa unasema ujalipwa,lengo la kitapeliKama anachukiwa kuanzia na rais mpaka na serikali nzima na bado kalipwa bila kustahili, hao wanaojipendekeza kwa rais wameshalipwa kiasi gani kwa utapeli mpaka sasa?