Kwani aliyesema lissu anadaiwa ni nni? Na kwa nini asimtafute Lissu mwenyewe badala yake akaamua kuitangazia dunia?Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.
Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
Mkuu kwani aliyeanzisha hili swala ni Nani?Sijasema madeni naomba nisisitize tena madai kama yapo lissu ndio aseme ili kama kuchangia achangiwe
Hata mie, kwenye keyboard hata dollar elfu kumi nampa bure bure.Pamoja na umasikini nilonao wakati wowote siku yoyote nikisikia Lissu anahitaji msaada wa kuchangiwa fedha hakika nitatoa whether by hook or crook huu Upendo nilonao kwa Lissu ni zaidi ya Shuntama au Lukomolo na hakuna Panya wa jibwa lolote la kuniletea fyokofyoko.
Wema kwenye keyboard.Watu wema hawajaisha DUNIANI hakika barikiwa mkuu.
Una lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Mkuu Wala hapa tatizo si Bavicha,hapa tatizo ni wewe.issue hapa ni nani ameanzisha sakata hili? Lissu au Ndugai?🤣🤣
Ndio tatizo la Bavicha wenzangu, tukisema ukweli tunaonekana wasaliti wa chama
Hivi kumbe hadi afe tunahusika na maisha yake!!!Bora hii corona ipite naye mapema kabisaaa,laana mkubwa yule.Ni jambo la kusikitisha kiongozi wa aina ya ndugai nae watanzania masikini watamhudumia mpaka kufa kwake, kuna haja ya kuipitia upya sheria ya mafao ya viongozi wa kitaifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii roho si njema kabisaHapana mwana
Ila unafiki wakufanya kumjali lissu kumbe unafiki tu, kwani suala la lissu kuhitaji pesa limeanza leo?
Yupo sahihi kumtaka Mh.Spika Ndugai atuambie kiasi anachodaiwa Mh.Lissu kwa sababu yaonekana anayafahamu madeni yake yeye kama kiongozi wa Binge.Vinginevyo asingelitaja kuwa anadaiwa.Una lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Inaelekea ulipigwa misasa mingi kiasi uelewa wako umepungua, kinachozungumziwa hapa ni madeni anayodaiwa Mh. Lissu na Bunge na siyo mh. Lissu anacho lidai Bunge. Mh. SpikaUna lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?
Watanzania wote pamoja na wale wa CCM wamwogope Spika kama ukoma uliomnyofoa vidole kwa kuiba fedha za walipa kodi akiwa India eti kwa matibabu ya ukoma. Watu wanasahau mgonjwa huyo alivyokwenda India na wapambe wawili, mke na watoto na kukaa hotel ya nyota 5 kwa muda wa miezi 5 badala ya kukaa chumba cha wagonjwa mashuhuri hospitalini.Kwani spika hana madeni?..na yeye aweke yake hadharani kama anaona ni heshima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetugusa.Pamoja na umasikini nilonao wakati wowote siku yoyote nikisikia Lissu anahitaji msaada wa kuchangiwa fedha hakika nitatoa whether by hook or crook huu Upendo nilonao kwa Lissu ni zaidi ya Shuntama au Lukomolo na hakuna Panya wa jibwa lolote la kuniletea fyokofyoko.
Yeye ndo amesema Lissu ana madeni.Una lolote
Utakosaje kujua madai yake hadi umuulize spika, kwani ndio mhasibu wa bunge?