Ndugai tupe madeni ya Lissu yote tutamlipia, sisi bado tunaguswa na yaliyomkuta

Mbona hujamchangia hadi sasa hivi mpaka alikimbilia USA kuomba fees.za.watoto.wake?
 
Sasa unamuona mwanaume mwenzako unapata kichefuchefu? Wanaume huwa tunakasirika, kichefuchefu ni kazi ya wanawake.

Tatizo huna uwezo wa kutafsiri lugha ya picha. Ni mjinga bin zuzu.
 
Kama sio muhasibu wa bunge kimbelembele cha kusema Lisu anadaiwa kakitoa wapi? Au ni kujipendekeza tu kwakuwa ameshajua jiwe anamfagilia yoyote anayemsema Lisu vibaya ili kuua soo ya kuagiza auwawe?
Muhasibu
 
Chuki gani?

Kama ajachukua 300 million na zaidi akanushe, tujue mbivu na mbichi

Kama anachukiwa kuanzia na rais mpaka na serikali nzima na bado kalipwa bila kustahili, hao wanaojipendekeza kwa rais wameshalipwa kiasi gani kwa utapeli mpaka sasa?
 

Katika kuchunguza ushahidi wa kimazingira, ukimsikiliza Spika wa Bunge na wasemaji wengi wa CCM na serikali, unaweza kusikia sauti za wenye hasira, chuki, na kukasirishwa na Lissu kunusurika kufa. Ni kama kusikiliza sauti za wauaji wenyewe, hata kama hawajakamatwa!

Kama kweli Lissu ana madeni, na kama kweli Ndugai na Bunge kwa ujumla wanataka kupima upepo wa Lissu katika mioyo ya Watanzania, aseme Lissu anadaiwa kiasi gani, na nani, halafu waone mafuriko ya michango ya Watanzania toka ndani na nje nchi!

Najua Ndugai kwa akili na roho yake chafu atakuwa ametengeneza mazingira ya kumwondolea Lissu dhamana ya Bunge kwenye madeni yake aliyoingia akiwa na hadhi ya Mbunge ili kumkomoa. Ndugai, watanzania wakijua anachodaiwa Lissu watakukomoa wewe na assessins wote kwa kuchanga hiyo pesa ndani ya siku moja.

Kama unabisha jaribu uoene....
 
Kama anachukiwa kuanzia na rais mpaka na serikali nzima na bado kalipwa bila kustahili, hao wanaojipendekeza kwa rais wameshalipwa kiasi gani kwa utapeli mpaka sasa?
Unalipwa unasema ujalipwa,lengo la kitapeli
 
Baada tu ya kusikia mhuni wangu Lissu anadaiwa chambi kadhaa na madafanta wasiomtakia mema basi mimi na machalii zangu tushaweka vishimba tigopesa, mpesa, airtel money na mabenki akaunt huko tunasubiri tu hilo liutaratibu la namna gani hivi vishimba vitumwe kumshika mkono mhuni wetu! WAHUNI WOTE PEPONI, AMIN!
Viva jembe Lissu, Jah akupe miaka kama yote wale madafanta wadedi wakikuona vile wahuni wanakupa sapoti kilo mia, imeisha hiyo!
 
Ndugai taja Deni la Lissu haraka tunakusubiri ili uaibike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…