Hii ni suluisho zuri pia naona hii advance 5 &6 ziwe zinatoa elimu ya kuajirika kwa level fulani ili mtu akishindwa kuendelea chuo miaka yote hiyo aliyosoma isiwe imepotea bure maana ata ukimaliza form six saiv wew ni kama form 4 au la saba huna fani yoyote ya kuajirika ata basic technician certifateFundisheni kwa kiingereza kuanzia msingi hadi chuo kikuu
Ashaanza kusoma alama za nyakati na kagundua hilo baada ya kuona na kugundua kuwa watanzania wamelisusa bunge lao linalo zidi kukosa mvutoJamaa kajigeuza mpinzani, ni kichekesho.
Mtu kama Ndaluchako na Ndugaye utasikia wanakwambia eti jiungeni kwenye vikundi vya uzalishaji mali na kilimo mkazalishe.Hii ni suluisho zuri pia naona hii advance 5 &6 ziwe zinatoa elimu ya kuajirika kwa level fulani ili mtu akishindwa kuendelea chuo miaka yote hiyo aliyosoma isiwe imepotea bure maana ata ukimaliza form six saiv wew ni kama form 4 au la saba huna fani yoyote ya kuajirika ata basic technician certifate
Watuambie wenyewe tangu waseme kilimo ni utii wa mgongo wa Taifa wamepiga hatua gani au ndiyo kimekua kibiongo cha TaifaMtu kama Ndaluchako na Ndugaye utasikia wanakwambia eti jiungeni kwenye vikundi vya uzalishaji mali na kilimo mkazalishe.
Kwani ule usajili wake haukutoa matunda🏃🏃.Jamaa kajigeuza mpinzani, ni kichekesho.
Ningewapongeza sana kama wangeamua kuwachia nafasi zao ili zizibwe kwa vijana wasomi wasio kuwa na ajira.Watuambie wenyewe tangu waseme kilimo ni utii wa mgongo wa Taifa wamepiga hatua gani au ndiyo kimekua kibiongo cha Taifa
Usajili unapigwa vita kila kona sasa kaamua ajiunge na adui zake angalau kupunguza lawama.Kwani ule usajili wake haukutoa matunda[emoji125][emoji125].
Huyu angepumzika tu sasaSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe
Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi kama Wananchi haituhusu, tunataka tuseme tunataka nini kwenye Elimu"
Ameongeza, "Tena Elimu ya Chuo Kikuu ndiyo watu wanalalamikia kuliko hata ya chini. Mliangalie vizuri ndani ya Serikali, namna gani ya kushirikishana"
Chanzo: Bunge