Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

Unakuta mtu ana kitu kidogo au Yuko kwenye hatua za kimaendeleo eti anataka amsaidie ndugu yake akiexpect favor in return ila matokeo yake anakuja kuhuzunika.

Ila kama mtu akifanya uroho mbaya akajijali mwenyewe akajiendeleza na kuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kiasi kwamba hata akimsaidia mtu haexpect return yoyote, hayo maneno hutayasikia.
Tenda wema ukiwa na vitu vingi sio vichache then uanze kujilaumu baadaye.
 
Kunq ttzo pia ambalo lipo kwa watu waliowasaidia watu wa sampul hyo
Waliotoa msaada wanataka kuabudiwa kama miungu watu na kutaka kuwapelekesha waliowasaidia
Msaada Unageuka Kuwa Utumwaaa
 
Poleni.
 
Maisha yaendelee, wamsahau kabisa. Inaonekana Bamkubwa anataka fadhila, mwambie aachane na hiyo biashara.
 
Sisi tuliosoma kwa kuungaunga na kasaidiwa ndo tunaelewa kilicho nyuma ya pazia kwenye hii thread.
Ni kwamba mtu akikusaidia,baadae anahitaji urudishe kile alichokusaidia bila kujali kwamba wewe sasa unamajukumu ya kutunza familia yako.Hata ukimsaidia kwa jinsi ambavyo unaweza haridhiki anahitaji ufanye zaidi ya hapo. Siku akikwambia kuwa anahitaji msaada fulani ukamwambia haupo vizuri financilly bado anaona umemnyima na anakulaumu na hakumbuki kama ulishamsaidia.Kwa kesi ya huyu jamaa anayeongelewa hapa itakuwa ni mambo kama hayo sasa ameamua kuwa kimya na kujitenga.
Wito wangu kwa wazazi,komaa msomeshe mwanao ili asije akapitia hii hali.Na wewe ndugu usimsaidie mtu kwamba atakuja kukulipa baadae,msaidie kwamba baadae aweze kujitegemea na kama atakupa chochote basi ridhika nacho nasio kwenda unamuanika kwa watu.
 
Ni maamuzi yake wao wasomeshe na wao pia
 
Hata tabia mbaya udhurumu, kushindwa kushukuru ni dhulima pia vitabu vya dini vimetufudisha kushukuru na kunyenyekea je? Unadhan bamkubwa nayeye asinge poteza hela zake kusomesha punda Kwan angepatwa na nn? Je unadhan bamkubwa hakuona bia za baridi? Je bamkubwa hakuona suti nzuri kipindi hicho
 
Lengo la kutoa msaada ni pamoja na kutendewa mema baadae kama uliyotenda ww, ndo maana dini zinasema usiwatendee watu mambo ambayo usingependa kutendewa ww, tukienda hvo hata ww watoto wako kesho haupo watabaki mitaani kama mbwa sababu hawatokua na hayo makubaliano ya et kulipa fadhila wakisaidiwa
 
Waambie waende mahakamani kudai haki ya matunzo na mafadhila kama ipo kisheria la sivyo hivyo vijamaa vitaishia kulaani tuu dua la kuku....

Wakati yeye mnamsaidia tena kwa kumsimanga mitoto yenu ilikuwa ikidekezwa na kula raha sasa jamaa kakomaa kwa shida baada ya kutoka mnataka kumfanya kitegauchumi shenzi type mizazi yenye hulka hii. Pita kule nayo kabisa kizazi cha laana nyie.....
 
Eehhh uko broke ama? Unabwia unga au Bangi?
 
Eehhh uko broke ama? Unabwia unga au Bangi?
HSIRAJI ! Naomba wewe usiniattack personality! Wewe mpe ushauri wako ila mimi nimemwambia awapotezee! Sasa naona wewe unanidhalilisha kwa nini sasa dadangu!
 
HSIRAJI ! Naomba wewe usiniattack personality! Wewe mpe ushauri wako ila mimi nimemwambia awapotezee! Sasa naona wewe unanidhalilisha kwa nini sasa dadangu!
We ndo umeanza kuita watu kizaz Cha laana kwenye bandiko lako, so tutumie lugha safi Kwa manufaa ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…