Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

Wewe Bibi hujalala tuu au ndio unajiandaa kwenda kuwanga! Ndio maana shy walikuwa wanawashughulikia nyie wenye macho ya Red!
Wee ulikua unakula raha ukijua utakaa kwa babayako milele mwenzako alikua anasoma wew muache mtu ale jasho lake msaada sio shida,shida ni roho yako yakuomba omba misaada kenge maji
 
Acha kuomba omba Fanya kazi mtoto wakiume halii anakojoa moyoni anapiga kwata tunakutan mbele moyo umeelea sasa endelea utakula viboko
 
Mkuu mbona naona kama haujamuelewa mtoa mada?

Ye'kaelezea stori za mzazi wake kumlea na kumsomesha kijana flani na kisha kijana yule "kuasi" baada ya mafanikio.

Hakuna popote palipoonesha mzee yule kutaka shukrani kutoka kwa yule kijana mfadhiliwa!
 
Kumsaidia MTU mshamba toka Usweken Ni Kama kubeba mzigo wa mavi ya Leo Leo au gunia la misumari begani.
I have done it na matokeo yake hata simu Hawa mbwa hawapokei.
 
Siwezi kumhukumu jamaa kwasababu hata upande wa wanaosaidia huwa unakuwa na matatizo makubwa tu. Mtu kama unamsaidia msaidie kwa moyo wako wote bila kuyumba. Kama huwezi mwambie kabisa hali yako na mwombee kwa Mungu. Pia kama jamaa kaamua kusaidia ndugu zake wa kijijini pia yuko sahihi 100% kwasababu huko kunahitaji msaada zaidi. Na huenda ilikuwa ni mission yake ya miaka mingi. Kama unasaidia uje ulipwe bora uache kufanya hivyo.
 
Kwa kifupi ukisaidiwa ukafanikiwa kumbuka kutoa shukrani
 
tenda wema wende zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…