Tuendelee kumshauri sasa afanyeje awachukue wote akae nao kwake au awalete kwako?Pamoja mkuu samahani pia nilipo kukwaza [emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee kumshauri sasa afanyeje awachukue wote akae nao kwake au awalete kwako?Pamoja mkuu samahani pia nilipo kukwaza [emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe Bibi hujalala tuu au ndio unajiandaa kwenda kuwanga! Ndio maana shy walikuwa wanawashughulikia nyie wenye macho ya Red!Acha kulalamika lalamika kindezi
Wee ulikua unakula raha ukijua utakaa kwa babayako milele mwenzako alikua anasoma wew muache mtu ale jasho lake msaada sio shida,shida ni roho yako yakuomba omba misaada kenge majiWewe Bibi hujalala tuu au ndio unajiandaa kwenda kuwanga! Ndio maana shy walikuwa wanawashughulikia nyie wenye macho ya Red!
Mkuu mbona naona kama haujamuelewa mtoa mada?Kulikuw na makubaliano ya kumlipa fadhila kabla ya kumsomesha.tuanzie hapo lakini angalizo kwa ndugu wazaz na rafiki tuache tabia ya kutegemea msaada mara baada ya kusomesha watoto wetu kwasabab huo n wajibu wa mzazi,wewe ndugu na mzaz tafuta kwa juhud hasa ukiwa kijana ili uzeeni ufanye yako kwa raha na sio kulia misaada ya fedha hasa kwa wale uliowasaidia..
tenda wema wende zakoBamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi.
kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae vizuri sana, walikiwa marafiki sana na mtoto mojawapo wa kiume wa bamkubwa, walisoma shule moja form 1 hadi form 6 kasoro chuoni, walikuwa mabesti sana.
sasa baada ya kumaliza chuo bamkubwa alimtaftia connection ya kazi huyo ndugu sambamba na mtoto wake, ni kazi walifanya kama miaka miwili hivi huku urafiki ukiwa safi tu, kipindi hiki bamkubwa aliwapa wote nyumba za kuishi sababu bamkubwa huwa anajenga nyumba na kuzikodisha.
sasa ikatokea ile kazi ikaisha, bamkubea akampigia connection yule ndugu yake kupata kazi shirika flan la serikali kile kipindi cha Kikwete 2015 kazi za connection, alikuwa anavuta 1.8 milion baada ya makato kila mwezi na posho si haba, kwa sasa kapandishwa daraja mshahara utakuwa mkubwa zaidi.
Kwa huyu mtoto wa bamkubwa akasema yeye ajira hataki, alianza biashara kwa kusua sua kwa miaka ile miwili ila akawa mzoefu na comnection za mzee zikamsaidia, 2019 niliweza kujiridhisha kwenye vitabu vyake na financial statements anapata faida ya milioni 30 kila mwezi baada ya kulipa mishahara, kodi na matumizi mengine, kwa sasa sijaweza kuona vitabu vyake ila sina shaka itakuwa hata 60, kwakweli biashara yake imepanuka sana na hata wafanyakazi mishahara wameongezewa si kama zamani.
kilichotokea ni kwamba tangu mwaka 2017 huyo ndugu hataki kabisa mawasiliano, hata kwenye misiba haonekani wala sherehe, kwa sasa yupo zaidi na ndugu zake wale wa kijijini.
Yeye bamkubwa alishasema hakusaidia kungoja shukrani ama kunyenyekewa, anapenda mtu awe huru, watoto nao kawaasa sana wasimjengee chuki yoyote wala kumzungumzia vibaya na ndio maana hata kwenye sherehe bado wanamualika (lakini haji)