Duuh!
Huu uzi umenifungua. Kuna wamkati alikuwa anafanya kazi Praise Power, alikuwa kiongozi fulani... Nikasoma kwenye gazeti moja la udaku, kuwa kuna mtangazaji wa redio ya mama Rwakatare ni shoga, Mama kaambiwa muda mrefu lakini hachukui hatua. Tena wakasema jina lake ni HK. Wakati huo kulikuwa na HK wawili, wenyewe walikuwa wanajiita HK1 na HK2. Baadaye nikasikia alikuja kutimuliwa ingawa sikujua kwa kosa gani.
Pia nilishamuona akiwa MC katika sendoff fulani, kama alivyosema mtoa mada, he is not man enough! Na huko kutinda nyusi hata kama mwanaume unajipenda, unafanya scrub, message, unajichubua na mazagazaga yote ya wanaume wa .com, lakini kutinda nyusi kwa staili ya kike, kwangu ni hapana, itatufanya tuamini yanayosemwa! Kujipenda gani huko? Tena ukijua kabisa wewe ni mpendwa, tena kazaliwa katika familia ya kichungaji sijui kiaskofu, yaani ni wale waliokulia madhabahuni! Najua yuko humu, anadharaulisha wazazi wake, mke wake, watoto wake, kanisa lake na wote waliokaribu nawe. Au la hawezi, atangaze tu biashara, ijulikane wazi....