Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

Ni salaam tu fupi ,kwa ndugu yangu Harrison mwakyembe ,jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi ,Harrison mwakyembe wakati erdward lowassa ni waziri mkuu ,alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia mheshimiwa erdward lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu ,na heshima yake pia .Harrison mwakyembe alikuwa akitarajia huenda angepata yeye hiyo nafasi lakini mungu akampa mizengo pinda! Tangia hapo lowassa alikuwa mtu mwenye msononeko mkubwa sana !erdward lowassa amelala sasa lakini moyo wake unamatundu yaliyotobolewa na siasa za visa za akina Harrison mwakyembe! Namsisitiza tu ndugu Harrison mwakyembe kwamba tafadhali nenda monduli ukaliguse hata jeneza la ndugu lowassa huenda utakuwa na amani,maana najua tangia miaka ile mlipoamua kumfanyia figisu zote hizo mambo yenu hayajawahi kunyooka ! Shujaa amelala taifa linaomboleza ,lakini mioyo inawasuta sana maadui wa lowassa ,
Huyo Mwakyembe pia kumbuka alilishwa sumu na marehemu,ila marehemu katangulia
 
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu, na heshima yake pia.

Harrison Mwakyembe alikuwa akitarajia huenda angepata yeye hiyo nafasi lakini Mungu akampa Mizengo Pinda! Tangia hapo Lowassa alikuwa mtu mwenye msononeko mkubwa sana! Edward Lowassa amelala sasa lakini moyo wake unamatundu yaliyotobolewa na siasa za visa za akina Harrison Mwakyembe!

Namsisitiza tu ndugu Harrison Mwakyembe kwamba tafadhali nenda Monduli ukaliguse hata jeneza la ndugu Lowassa, huenda utakuwa na amani, maana najua tangia miaka ile mlipoamua kumfanyia figisu zote hizo mambo yenu hayajawahi kunyooka! Shujaa amelala, taifa linaomboleza, lakini mioyo inawasuta sana maadui wa Lowassa.
alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu, na heshima yake pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaky mbe alitulisha ma tango pori kwa mbwe mbwe na madaha.. nasisi tilivuo majuha tukashangiliq bila kitafakari!
Alifanya vile kwa maelekezo ya kumkinga bwana mkubwa. Nakumbuka ilikuwa February 2008 na uchaguzi uliofuata wa 2010 viongozi wote waandamizi walimsusia bwana mkubwa ule uchaguzi na familia yake ndio ilizunguka nchi nzima kumfanyia kampeni. Isingekuwa TISS Leo hii ungekuwa tunaongelea mageuzi makubwa ya kisiasa kutokea nchini
 
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu, na heshima yake pia.

Harrison Mwakyembe alikuwa akitarajia huenda angepata yeye hiyo nafasi lakini Mungu akampa Mizengo Pinda! Tangia hapo Lowassa alikuwa mtu mwenye msononeko mkubwa sana! Edward Lowassa amelala sasa lakini moyo wake unamatundu yaliyotobolewa na siasa za visa za akina Harrison Mwakyembe!

Namsisitiza tu ndugu Harrison Mwakyembe kwamba tafadhali nenda Monduli ukaliguse hata jeneza la ndugu Lowassa, huenda utakuwa na amani, maana najua tangia miaka ile mlipoamua kumfanyia figisu zote hizo mambo yenu hayajawahi kunyooka! Shujaa amelala, taifa linaomboleza, lakini mioyo inawasuta sana maadui wa Lowassa.
Hata Ile misheni yao ya kufichua mambo ya ushoga niliitilia mashaka sana na Bado naitilia mashaka sanaaaaa...ukitaka Ngoma ivume lazima uipige

Code za kichwa changu zinaniambia jamaa walitumika kutufikishia ujumbe indirect,

I repeat

LENGO LAO HALIKUA JEMA KAMA JAMII ILIVYODHANI
 
Kwenye mazishi watu wawili hawatakuwepo. Wa pili Ni Mwakyembe ambaye hata huko kwao hawamtaki.
 
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu, na heshima yake pia.

Harrison Mwakyembe alikuwa akitarajia huenda angepata yeye hiyo nafasi lakini Mungu akampa Mizengo Pinda! Tangia hapo Lowassa alikuwa mtu mwenye msononeko mkubwa sana! Edward Lowassa amelala sasa lakini moyo wake unamatundu yaliyotobolewa na siasa za visa za akina Harrison Mwakyembe!

Namsisitiza tu ndugu Harrison Mwakyembe kwamba tafadhali nenda Monduli ukaliguse hata jeneza la ndugu Lowassa, huenda utakuwa na amani, maana najua tangia miaka ile mlipoamua kumfanyia figisu zote hizo mambo yenu hayajawahi kunyooka! Shujaa amelala, taifa linaomboleza, lakini mioyo inawasuta sana maadui wa Lowassa.
Kwanini mwakyembe tuu na sio wanasiasa wa harakati wa kipindi kile akina ZZK, akina wilbroad slaa akina Chacha wangwe maana hawa ndo waliliamsha dude. Mwakyembe najua madhaifu yake mengi ila kwa hili alitekeleza majukumu yake
 
Lowassa ndio alileta shule za sekondari kila kata nchi nzima. Lowassa kawaletea wasukuma maji ambayo tuliaminishwa hatuna haki ya kuyanywa kwani tukiyanywa wamisri watakosa maji.
RIP Shujaa.
Ni kweli kwa shule za kata sifa ziende kwa lowasa kwa hilo la maji pia... ila haya mawili ndio yanamfanya kuwa mwema kiasi cha kumpa lawama mwakyembe
 
Usimsemee Marehemu, muache ahukumiwe na muumba aliyemuumba ndiye anayejua Siri zote, maana hata wewe huna uhakika kama hakuna aliowaumiza au hiyo Richmond haimuhusu kweli.
 
Unafikiri atashindaa kuongea owz ajili ya nyie wzpuuzi na wanafiki na wazushi?!!! Yupo kimya si kwz sababu hana majibu yenu, ni kwasababu haoni haja ya kuwajibu vichaa!
Nilijua lazima uje kumtetea mume wako😜
 
Back
Top Bottom