Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Alifanya vile kwa maelekezo ya kumkinga bwana mkubwa. Nakumbuka ilikuwa February 2008 na uchaguzi uliofuata wa 2010 viongozi wote waandamizi walimsusia bwana mkubwa ule uchaguzi na familia yake ndio ilizunguka nchi nzima kumfanyia kampeni. Isingekuwa TISS Leo hii ungekuwa tunaongelea mageuzi makubwa ya kisiasa kutokea nchini
Sasa huoni kama huyo Bwana mkubwa ni mwamba, watu wote wakususie uchaguzi eti TISS wabaki peke yao na wewe halafu ushinde uchaguzi, 2010 huyo jamaa alishinda kihalali kabisa.
Huyo Bwana mkubwa unayemsema ndiye Bwana mipango mwenyewe refer 1995 pale chimwaga umri Ile na ujasiri wa kuutaka Urais na Ile speech iliyomfanya JK Nyerere asimame kumpa mkono na kumkumbatia.
Kifupi tumuombee Marehemu kwenye safari yake mpya, huku kwenye mtifuano wa Urais hakuwa na nguvu kumdhidi yule jamaa wa Saigon.