Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

Hivi kuna kulazimishana kwenda kwenye misiba
 
Mwakyembe kibaraka wa Samuel Sitta
 
 
Mkuu mbona unayemsema alishaonja sehemu ya malipo yake, bado amalizie sehemu iliyobaki!
 
Ni kweli kwa shule za kata sifa ziende kwa lowasa kwa hilo la maji pia... ila haya mawili ndio yanamfanya kuwa mwema kiasi cha kumpa lawama mwakyembe
Sasa Mwakyembe Kama mlume kweli aende kuzika Monduli.
 
Achana na wanafiki mkuu
 
JK anajua kupanga maneno, atawashangaza watu
Hamna kitu... mbona kwa JPM alijichanganya... bahati mzee Ruksa akabalansi mzani kwa kuwachekesha waombolezaji... lakini mkwere alijichanganya kwenye speech
 
Yani na PhD yake aliamua kujishushia heshima.na ule ugonjwa wa kupukutika sijui uliishia wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…