Kishimba hana jipya tukimfukunyua mbona tutakimbiana , hoja zake ni za vichekesho , kuchangamsha akili na kuwaza vitu mbadala na applicability yake inahtaji upembuzi yakinifu ili viweze kufanya kazi , watu washafikria hzo hoja zake kitambo ila wakachagua mbadala ulio sahihi kulingana na mazingira na taratibu za kijamii , mfano anakuambia kilimo cha bangi kihalalishwe kisa gunia linauzwa bei ndefu au anasema wanafunzi wasinunue daftari jipya kisa ubongo ni ule ule ... Na anakupa sababu fikrishi ambazo ni mwehu tuu anaweza ziruhusu zifanye kazi instantly