Hospital za serikali ni 6000 tu. Langu ni group O+, ila maana yake sijui.Wakuu hebu tujibu hili swali,
Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu...
Shukurani [emoji1488] hili pia tutalifanya kaziWamama waliojifungua walau sehemu kubwa yao wanajua. Ni takwa la muhimu kujua kundi la damu la mama mjamzito.
Kujua gharama ni elfu tatu au nne katika maabara za mtaani.
Ni muhimu sana kufahamu kundi lako la damu.
Ndiomana akili zetu mbovu hili group watu wake sijui tuna nini?? π€£π€£π€£Mie ni 0- sijui.. aahh, nishasahu, toka miaka ya 2000+ huko
Km MimiHospital za serikali ni 6000 tu. Langu ni group O+, ila maana yake sijui.
We usiniambie nawe upo kwenye group hili..Ndiomana akili zetu mbovu hili group watu wake sijui tuna nini?? π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ group la vichaaWe usiniambie nawe upo kwenye group hili..
Ama kweli hili ni group la watu CHENGA zaidi duniani..π
tunapenda sana kuonekana mbele za watu yaani wazee + ujeuriWe usiniambie nawe upo kwenye group hili..
Ama kweli hili ni group la watu CHENGA zaidi duniani..π
Hebu kesho nikapime nijithibitishie kweli nipo huko kwenu..π€£π€£π€£ group la vichaa