mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Fekeraaaa mbaliiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbande hadi msongola mpaka kilimoUkonga ipi mnayoisema?
Kutoka banana kitunda hadi frem kumi lami ipo tena nzuri tu, msongora hadi cha kenge ni lami, magreda yanazunguka kusafisha barabara za mitaani nk kazi inafanyika na tunaiona.
Ila ukikutana nae ukathubutu kumuuliza habari za barabara atakujibu hivi: kaa hapa unywe bia barabara itakusaidia nini
.MATAGA
wanachama tusaidiane kura za maoni apitishwe mgombea mwenye udhubutuFekeraaaa mbaliiiiiiii
kama angepiga kazi hata atokee kona ipi ya dunia bado angekua ana nafasi kubwa ya kugombea na kupita.Hiyo ni kondom imeshatumika kilichobaki ni kuitupa chooni tu.
Then CCM waliwapa mtu makini kabisaaa ndg. Waitara,aki-reflect akili za wananchi wake per se.kama angepiga kazi hata atokee kona ipi ya dunia bado angekua ana nafasi kubwa ya kugombea na kupita.
tuna imani na CCM tunaamini watatupa mtu makini
Da yaani nao MODS wana chelewesha maendeleo yetu kwa kubana uzi sababu nia sio mbaya ni kumkumbusha tu.mods waliuficha uzi ndo leo nauona sasa sijui wameufungua lini
Hivi Watanzania lini ujinga huu utatutoka? Mbunge hana fedha za maendeleo ya jimbo! Mwenye fedha ni serikali na kupitia halmashauri na taasisi za serikali miradi inajengwa. Sasa kumdai mbunge ni kumuonea au kumbebesha mzigo usio wake.nashukuru kwa kuufungua huu uzi japo mlikaa nao muda mrefu mods sio vizuri
Wabunge wengi wa CCM waliopo mikoa ya Dar es salaam,Iringa na Arusha wanajisahau kutokana na mfumo wa uongozi ulivyo katika hiyo mikoa. Ni kazi sana kujua majukumu ya wakuu wa mikoa hiyo tajwa na viongozi wengine katika hizo sehemu. Wakuu wa mikoa wanataka kufanya kila kitu,usipokuwa makini watu wanaweza jua unazingua kumbe wakuu wa mikoa husika wamepora majukumu ya wengine.Ndugu Mwita waitara ni aibu na fedheha hata kukupa jina la mheshimiwa naomba nikuite Ndugu tu.
Kwa urubuni na maneno uliyotumia ukiwa mpinzani 2015 na kwa dhati ya moyo wako ulijua fika ukabila ulibeba nafasi ya wewe kupendwa na kuona kwamba sisi tutaamini kwakuwa eneo hili lina wale wenye vinasaba vyako utaona huruma na kutekeleza japo kero kubwa ya ubovu wa barabara takribani aslimia 60 ndani ya jimbo lako barabara ni MBOVU.
Kama kuna siku nilitamani wanaukonga wangefungua akili ni kipindi ambacho waliendekeza dhana ya ukabila badala ya kuangalia kijana mwenye nia ya kufanya mambo. Hakuna mkamilifu ila bora angeingia bungeni Jerry Slaa kuliko wewe.
Hamna ulichofanya ukiwa mpinzani lakini wanaukonga walikuwa wana matumaini ipo siku utafanya jambo.
Katikati ya matumaini ghafla umeamia CCM ukiwa na uso ule ule usiokuwa na huruma na wana Ukonga. TUKASEMA TUSUBIRI...
Naaandika uzi huu kwa uchungu sana maana subira wanaukonga waliyonayo imefika kikomo. Baada ya kuteuliwa CCM ulitembelea baadhi ya kata zako ikiwemo Msongola na Chanika. Wananchi wakakuuliza barabara hii kutoka Mbande mpaka Msongola mvua zikinyesha hapapitiki kabisa tusaidie. Ukajibu kama mgeni wa hili eneo wakati ulikuwepo tangu 2015.
Ukaongeza, "Sasa hivi nina nafasi kubwa ya kuongea huko juu kwa hiyo nitaomba japo KIFUSI" KIFUSI? Siriazi watu wanahitaji lami barabara ni mbovu kuliko maelezo na ni miaka nenda rudi unasema kifusi? Na ni kweli baada ya wiki kadhaa kifusi kilimwagwa sikumbuki vilikua vingapi ila vichache na ni kilometa nyingi kweli vikasawazishwa na barabara kuchongwa kiaina.
Na huu utaratubu wa kuchonga chonga barabra ni wa muda na kuna maigizo yanafanyika na ni matumaini yangu unahisika. Unakuta barabara inachongwa (sio kuwekwa lami) kama kilometa moja hivi wanakaaa hata miezi. Inaleta usumbufu mzitoo ukizingatia barabara ni ya vumbi.
Uchaguzi serikali za mitaa umekaribia umesogeza sogeza magreda barabarani yamepaki pembeni hayafanyi kazi ya aina yoyote unafikiri hayo maigizo wanaukonga hawayaoni?
MVUA ZIMEANZA
Barabara hazipitiki ndani ya jimbo lako kwa asilimia kubwa hivi 2020 una mpango wa kuja Ukonga? Nakusihi USIJARIBU!
Nitaambatanisha picha za baadhi ya maeneo ya jimbo lako maana nahisi nyakati kama hizi za mvua hupiti kwa hiyo sidhani kama unaijua adha wananchi wanayoipata.
CCM ninaamini mna kuna watu wenye nia ya dhati na nchi hii. Huyu jamaa apishe, hana cha kujitetea kwenye uchaguzi ujao hana kabisa.
Tatizo mmezidi unyonge.tunateseka wananchi.
barabara takribani kilometa 7 ni mazhimo kama yote aisee
Ndugu Mwita waitara ni aibu na fedheha hata kukupa jina la mheshimiwa naomba nikuite Ndugu tu.

Alitoa ahadi mwenyewe. Na kwa taarifa yako bora alipokuwa cdm jitihada angalau zilionekama. Mfano culvert pale jirani na majphe mpaka leo zipo na enep lile linapitija.Hivi Watanzania lini ujinga huu utatutoka? Mbunge hana fedha za maendeleo ya jimbo! Mwenye fedha ni serikali na kupitia halmashauri na taasisi za serikali miradi inajengwa. Sasa kumdai mbunge ni kumuonea au kumbebesha mzigo usio wake.
Ujinga hapa nimetumia kuonyesha uelewa wetu ni mdogo.Alitoa ahadi mwenyewe. Na kwa taarifa yako bora alipokuwa cdm jitihada angalau zilionekama. Mfano culvert pale jirani na majphe mpaka leo zipo na enep lile linapitija.
Huko alikohamia malalamiko ndio haya. Sasa nini kuita wa TZ wenzakp wote wajinga ila wewe.
Msongola niliwahi kwenda 2013 hali ilikua ni duni sana, inasikitisha mpk sasa barabara badowaitara jitathimini kabisa hali jimboni ni mbaya.
barabara ya msongola haipitiki hali ni mbaya sanaa.
makorongo yamekua makubwa sana
Ujinga hapa nimetumia kuonyesha uelewa wetu ni mdogo.
Sasa kama aliahidi kuwa atafanya hizo kazi ni kwa sababu alifahamu uelewa wa watu aliokuwa anawaahidi hawana uelewa, yaani ni wajinga.
hali ni duni bado WE NEED CHANGESMsongola niliwahi kwenda 2013 hali ilikua ni duni sana, inasikitisha mpk sasa barabara bado