Uchaguzi 2020 Ndugu Mwita Waitara hautoshi Ukonga. Umefeli ukiwa mpinzani, umeshindwa ukiwa CCM!

Ukonga ipi mnayoisema?

Kutoka banana kitunda hadi frem kumi lami ipo tena nzuri tu, msongora hadi cha kenge ni lami, magreda yanazunguka kusafisha barabara za mitaani nk kazi inafanyika na tunaiona.
Ila ukikutana nae ukathubutu kumuuliza habari za barabara atakujibu hivi: kaa hapa unywe bia barabara itakusaidia nini
.MATAGA
mbande hadi msongola mpaka kilimo
HAKUNA LAMI sio hakuna lami tu BARABARA INA MAHANDAKI MAKUBWA YASIOVUMILIKA
 
kama angepiga kazi hata atokee kona ipi ya dunia bado angekua ana nafasi kubwa ya kugombea na kupita.
tuna imani na CCM tunaamini watatupa mtu makini
Then CCM waliwapa mtu makini kabisaaa ndg. Waitara,aki-reflect akili za wananchi wake per se.
 
nashukuru kwa kuufungua huu uzi japo mlikaa nao muda mrefu mods sio vizuri
Hivi Watanzania lini ujinga huu utatutoka? Mbunge hana fedha za maendeleo ya jimbo! Mwenye fedha ni serikali na kupitia halmashauri na taasisi za serikali miradi inajengwa. Sasa kumdai mbunge ni kumuonea au kumbebesha mzigo usio wake.
 
Ndugu Mwita waitara ni aibu na fedheha hata kukupa jina la mheshimiwa naomba nikuite Ndugu tu.

Kwa urubuni na maneno uliyotumia ukiwa mpinzani 2015 na kwa dhati ya moyo wako ulijua fika ukabila ulibeba nafasi ya wewe kupendwa na kuona kwamba sisi tutaamini kwakuwa eneo hili lina wale wenye vinasaba vyako utaona huruma na kutekeleza japo kero kubwa ya ubovu wa barabara takribani aslimia 60 ndani ya jimbo lako barabara ni MBOVU.

Kama kuna siku nilitamani wanaukonga wangefungua akili ni kipindi ambacho waliendekeza dhana ya ukabila badala ya kuangalia kijana mwenye nia ya kufanya mambo. Hakuna mkamilifu ila bora angeingia bungeni Jerry Slaa kuliko wewe.
Hamna ulichofanya ukiwa mpinzani lakini wanaukonga walikuwa wana matumaini ipo siku utafanya jambo.

Katikati ya matumaini ghafla umeamia CCM ukiwa na uso ule ule usiokuwa na huruma na wana Ukonga. TUKASEMA TUSUBIRI...

Naaandika uzi huu kwa uchungu sana maana subira wanaukonga waliyonayo imefika kikomo. Baada ya kuteuliwa CCM ulitembelea baadhi ya kata zako ikiwemo Msongola na Chanika. Wananchi wakakuuliza barabara hii kutoka Mbande mpaka Msongola mvua zikinyesha hapapitiki kabisa tusaidie. Ukajibu kama mgeni wa hili eneo wakati ulikuwepo tangu 2015.

Ukaongeza, "Sasa hivi nina nafasi kubwa ya kuongea huko juu kwa hiyo nitaomba japo KIFUSI" KIFUSI? Siriazi watu wanahitaji lami barabara ni mbovu kuliko maelezo na ni miaka nenda rudi unasema kifusi? Na ni kweli baada ya wiki kadhaa kifusi kilimwagwa sikumbuki vilikua vingapi ila vichache na ni kilometa nyingi kweli vikasawazishwa na barabara kuchongwa kiaina.

Na huu utaratubu wa kuchonga chonga barabra ni wa muda na kuna maigizo yanafanyika na ni matumaini yangu unahisika. Unakuta barabara inachongwa (sio kuwekwa lami) kama kilometa moja hivi wanakaaa hata miezi. Inaleta usumbufu mzitoo ukizingatia barabara ni ya vumbi.

Uchaguzi serikali za mitaa umekaribia umesogeza sogeza magreda barabarani yamepaki pembeni hayafanyi kazi ya aina yoyote unafikiri hayo maigizo wanaukonga hawayaoni?

MVUA ZIMEANZA

Barabara hazipitiki ndani ya jimbo lako kwa asilimia kubwa hivi 2020 una mpango wa kuja Ukonga? Nakusihi USIJARIBU!

Nitaambatanisha picha za baadhi ya maeneo ya jimbo lako maana nahisi nyakati kama hizi za mvua hupiti kwa hiyo sidhani kama unaijua adha wananchi wanayoipata.

CCM ninaamini mna kuna watu wenye nia ya dhati na nchi hii. Huyu jamaa apishe, hana cha kujitetea kwenye uchaguzi ujao hana kabisa.
Wabunge wengi wa CCM waliopo mikoa ya Dar es salaam,Iringa na Arusha wanajisahau kutokana na mfumo wa uongozi ulivyo katika hiyo mikoa. Ni kazi sana kujua majukumu ya wakuu wa mikoa hiyo tajwa na viongozi wengine katika hizo sehemu. Wakuu wa mikoa wanataka kufanya kila kitu,usipokuwa makini watu wanaweza jua unazingua kumbe wakuu wa mikoa husika wamepora majukumu ya wengine.
 
Bila kusahau barabara ya kitunda shule kuelekea kibeberu magole ni mbaya kabisa,daraja linalounganisha mwanagati na magole limeshindikana kujengwa ni mwendo wa kuogelea mto mzinga.mheshimiwa mbunge kimyaaaaaa
 
CCM CCM Ahhaaa chama cha mafisadi ccm namba 1 kwauchawi Tunajua ccm namba 1 eeehhh mnisamehe wajameni japo namimi ni mwanaukonga ila imebidi niimbe wimbo pendwa sikujua huko Mwanzo Kama mbunge wangu anapenda Sana nyagi [BAPA]
 
Hilo jimbo nasikia kesha kabidhiwa makonda
Ndugu Mwita waitara ni aibu na fedheha hata kukupa jina la mheshimiwa naomba nikuite Ndugu tu.

Kwa urubuni na maneno uliyotumia ukiwa mpinzani 2015 na kwa dhati ya moyo wako ulijua fika ukabila ulibeba nafasi ya wewe kupendwa na kuona kwamba sisi tutaamini kwakuwa eneo hili lina wale wenye vinasaba vyako utaona huruma na kutekeleza japo kero kubwa ya ubovu wa barabara takribani aslimia 60 ndani ya jimbo lako barabara ni MBOVU.

Kama kuna siku nilitamani wanaukonga wangefungua akili ni kipindi ambacho waliendekeza dhana ya ukabila badala ya kuangalia kijana mwenye nia ya kufanya mambo. Hakuna mkamilifu ila bora angeingia bungeni Jerry Slaa kuliko wewe.
Hamna ulichofanya ukiwa mpinzani lakini wanaukonga walikuwa wana matumaini ipo siku utafanya jambo.

Katikati ya matumaini ghafla umeamia CCM ukiwa na uso ule ule usiokuwa na huruma na wana Ukonga. TUKASEMA TUSUBIRI...

Naaandika uzi huu kwa uchungu sana maana subira wanaukonga waliyonayo imefika kikomo. Baada ya kuteuliwa CCM ulitembelea baadhi ya kata zako ikiwemo Msongola na Chanika. Wananchi wakakuuliza barabara hii kutoka Mbande mpaka Msongola mvua zikinyesha hapapitiki kabisa tusaidie. Ukajibu kama mgeni wa hili eneo wakati ulikuwepo tangu 2015.

Ukaongeza, "Sasa hivi nina nafasi kubwa ya kuongea huko juu kwa hiyo nitaomba japo KIFUSI" KIFUSI? Siriazi watu wanahitaji lami barabara ni mbovu kuliko maelezo na ni miaka nenda rudi unasema kifusi? Na ni kweli baada ya wiki kadhaa kifusi kilimwagwa sikumbuki vilikua vingapi ila vichache na ni kilometa nyingi kweli vikasawazishwa na barabara kuchongwa kiaina.

Na huu utaratubu wa kuchonga chonga barabra ni wa muda na kuna maigizo yanafanyika na ni matumaini yangu unahisika. Unakuta barabara inachongwa (sio kuwekwa lami) kama kilometa moja hivi wanakaaa hata miezi. Inaleta usumbufu mzitoo ukizingatia barabara ni ya vumbi.

Uchaguzi serikali za mitaa umekaribia umesogeza sogeza magreda barabarani yamepaki pembeni hayafanyi kazi ya aina yoyote unafikiri hayo maigizo wanaukonga hawayaoni?

MVUA ZIMEANZA

Barabara hazipitiki ndani ya jimbo lako kwa asilimia kubwa hivi 2020 una mpango wa kuja Ukonga? Nakusihi USIJARIBU!

Nitaambatanisha picha za baadhi ya maeneo ya jimbo lako maana nahisi nyakati kama hizi za mvua hupiti kwa hiyo sidhani kama unaijua adha wananchi wanayoipata.

CCM ninaamini mna kuna watu wenye nia ya dhati na nchi hii. Huyu jamaa apishe, hana cha kujitetea kwenye uchaguzi ujao hana kabisa.
20191008_145340.jpeg
 
Hivi Watanzania lini ujinga huu utatutoka? Mbunge hana fedha za maendeleo ya jimbo! Mwenye fedha ni serikali na kupitia halmashauri na taasisi za serikali miradi inajengwa. Sasa kumdai mbunge ni kumuonea au kumbebesha mzigo usio wake.
Alitoa ahadi mwenyewe. Na kwa taarifa yako bora alipokuwa cdm jitihada angalau zilionekama. Mfano culvert pale jirani na majphe mpaka leo zipo na enep lile linapitija.

Huko alikohamia malalamiko ndio haya. Sasa nini kuita wa TZ wenzakp wote wajinga ila wewe.
 
Ujinga hapa nimetumia kuonyesha uelewa wetu ni mdogo.

Sasa kama aliahidi kuwa atafanya hizo kazi ni kwa sababu alifahamu uelewa wa watu aliokuwa anawaahidi hawana uelewa, yaani ni wajinga.
 
waitara jitathimini kabisa hali jimboni ni mbaya.
barabara ya msongola haipitiki hali ni mbaya sanaa.
makorongo yamekua makubwa sana
Msongola niliwahi kwenda 2013 hali ilikua ni duni sana, inasikitisha mpk sasa barabara bado
 
Mwita should https://jamii.app/JFUserGuide off!!!! Hana maana yoyote.
 
Naona ngumu kukubaliana na wewe unaemtetea Waitara kwasababu wakati yuko CDM alitoa ahadi na kutekeleza angalau huko CCM alikohamia anatoa ahadii hatekelezi kabisa.

Back
Top Bottom