Ndugu naomba ushauri akili imestack

Wanaume tunao wanawake wasio wake zetu, na wanawake wanaolewa na wanaume wasio wao, ndio maana kuna na drama za kutosha kwenye ndoa.. yani ni kama tumewekewa Laana na Baraka ila wengi huwa tunachagua Laana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
....Kaenda kwao we kausha, piga hesabu za kuwafuata watoto, yaani hiyo ndiyo sababu ya kupiga chini mazima.
 
1. Bado hauna sifa ya kuitwa mwanamme/Baba
2. Umeongea uwongo
3. Hauna msimamo
4. Unamwogopa sana mkeo bila shaka kakuzidi nguvu
5. Ulevi haujaanza kwasababu ya mkeo, umeanza kitambo sana
6. Maisha yako ni ya duni

Mwisho: Huenda wewe ni mwalimu
 
Baba kaja kutuomba ushauri wanae any way, fukuza huyo au uende mbali ukajitafte tena umwachie Kila ki2
 
Naomba ushaur wako boss kuhus post
1. Bado hauna sifa ya kuitwa mwanamme/Baba
2. Umeongea uwongo
3. Hauna msimamo
4. Unamwogopa sana mkeo bila shaka kakuzidi nguvu
5. Ulevi haujaanza kwasababu ya mkeo, umeanza kitambo sana
6. Maisha yako ni ya duni

Mwisho: Huenda wewe ni mwalimu
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwani andiko lasemaje ?

Nimewawekea mbele zenu BARAKA NA LAANA.. ila hata dunia ya leo watu wengi tunajichagulia Laana. Hizi seke seke ni matokeo ya watu kupenda laana kuliko baraka.. acha waisome namba
Nimekuelewa vizuri kabisa na kukuunga mkono.

Mimi nilishawahi shuhudia watu wanavyofanya machaguzi ya wenza, unaona kabisa huyu anaenda kuangukia pua πŸ˜‚πŸ˜‚
na kuna mwingine unaona kabisa huyu amelamba bingo!
 
Naomba ushaur wako boss kuhus post
Karb boss,,,Hali si hali
Ushauri ambao ntaanza kukupa ni huu.


Ukiwa unaishi na mwanamke /ndugu /rafiki au mtu yeyote yule Ila mkawa mnagombana Mara kwa Mara .

Basi hamtoweza kufanikiwa .


Mfano at your age 38 na umekaa na umekuwa na mwanamke 10 yrs since 2014.

Katika kipindi cha miaka 10 ambayo umekuwa na mke wako jiulize haya mambo

Mmeenda mbele ?
Mmerudi nyuma ?
Mpo pale pale ?


Jibu utakalopata ndo tutalitUmia kukupa ushauri mzuri wa nini ufanye na wapi uanzie .

Kumbuka unbidi kuwa makini sana unbidia uandae kesho yako bora Ila hapo hapo unabidi kuandaa kesho bora ya watoto wako.

Na kama ukiwa katika migogoro ni ngumu wewe kustawi kiuchumi na usipostawi kiuchumi utajikuta umeigeukia pombe Kama mfariji wako na anguko lako kitatokea hapo .


Be positive
Detachment ndo kitu kitakusaidia.
 
Nimekuelewa vizuri kabisa na kukuunga mkono.

Mimi nilishawahi shuhudia watu wanavyofanya machaguzi ya wenza, unaona kabisa huyu anaenda kuangukia pua πŸ˜‚πŸ˜‚
na kuna mwingine unaona kabisa huyu amelamba bingo!
Kinachoponza watu ni tamaa ( kama edeni pale Eva aliona mti wa ujuzi na mewa wafaa na kutamanika kwa macho - taabu ndio inaanzia hapo ). Tamaa ya macho na hisia za mwili ndio zimekuwa zinaongoza sana watu kuchagua wenza.. hisia zikiisha moto unawaka πŸ˜…πŸ˜…

Upendo sio hisia, ila wengi wanaingia na hisia.. acha watu wanyooke hakuna namna.. kuna vijana humu JF wanatoka wamuoe Irene Uwoya πŸ˜…πŸ˜…
 
Naomba ushaur wako boss kuhus post
1. Jipange kisha nenda kwao kama ni faini ya kukaa na binti yao muda mrefu pasipo utaratibu basi kawalipe
2. Chukua damu yako uondokenayo, waachie mwanaye, nasema hivi WAACHIE MWANAYE
3. Kuhusu mtoto mdogo, fanya nao makubaliano ya kuwaachia wamlee hadi afikishe walao miaka mitatu/minne kisha kamchukue ili aanze shule
4. ACHA KABISA POMBE
5. Waeleze wazazi/ndugu zako kuhusu situation ilivyokuwa.

Mwisho, Pambana sana ili ukuze kipato chako
 
Kabla ya yote nikulize una pesa ? Au upo zako Na mishahara ya Tamisemi , kama unayo pesa achana naye haraka sana , tafta mwanamke mwingine usichukue chochote mlichochuma naye , anzisha familia nyingine mimi huyu mzazi mwenzangu hazingui kivile , ila nakwambia nimeanzisha familia yingine yaani huko napewa Mahaba ya ajabu na single mother wa sasa nilichompatia ni kanyumba ka kuishi na mtaji kidogo tu ili ahudumie mtoto niliyezaa naye hakika linapokuja suala la mapenzi naenjoy sana ntaacha kuoa if I will be blessed to live longer huku duniani na nikifika miaka 70, niumize kichwa kuhusu pesa na mapenzi eti yaniendeshe hapana, huyu mwenzangu baada ya kujua nimejiweka mahali na single mother aisee amebadilika sana mtiifu na msikivu maana nimemuahidi kuongeza mke ramsi akileta mbwembwe na Mali zangu mimi Nina tofauti ndogo Sana na hakim yule chezaji ya psg nandika watoto na nawajulisha ndugu so Huwa anasikia tu mumeo huko kanzisha mradi fulani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla ya yote nikulize una pesa ? Au upo zako Na mishahara ya Tamisemi , kama unayo pesa achana naye haraka sana , tafta mwanamke mwingine usichukue chochote mlichochuma naye , anzisha familia nyingine mimi huyu mzazi mwenzangu hazingui kivile , ila nakwambia nimeanzisha familia yingine yaani huko napewa Mahaba ya ajabu na single mother wa sasa nilichompatia ni kanyumba ka kuishi na mtaji kidogo tu ili ahudumie mtoto niliyezaa naye hakika linapokuja suala la mapenzi naenjoy sana siumsumbui moto, ntaacha kuoa if I will be blessed to love longer huku duniani na nikifika miaka 70, kudadeki kichwa kuhusu pesa na mapenzi eti yaniendeshe
 
Ushauri wangu kwanza fanyia kazi makosa yote ya nyuma yanayokuangusha mfano badili password,imarisha ulinzi WA Mali zako.

Pili,uyu mwanamke ana uhakika kwa SAsa huna pa kwenda ndio maana ana leta nyodo,usimchekee na mpige stop kuwa na mazoea na familia yao maana ndio inampa kiburi(Kata mazoea na familia yake maana Kuna namna wanakurudisha nyuma)
Mwisho,,Omba Mungu akusaidie upate amani ya Moyo maana ni mazito .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…