Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kumbe mabikra nao hopeless kabisa..😀Nilimkuta bikra boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mabikra nao hopeless kabisa..😀Nilimkuta bikra boss
Wanaume tunao wanawake wasio wake zetu, na wanawake wanaolewa na wanaume wasio wao, ndio maana kuna na drama za kutosha kwenye ndoa.. yani ni kama tumewekewa Laana na Baraka ila wengi huwa tunachagua Laana 😅😅😅Na bado! nani aliwaambia watu kila binadamu anafaa kuoa/kuolewa? kumzalia/kumzalisha?
Wanatesa watoto.
Kuna watu tunawaona huku mitaani, wamenyooka kama rula, familia ni familia wanapiga hatua.. watoto wanasoma darasa moja, darasa la kumi mwisho wanajitegemea, hakuna vurugu wala heka heka. Na kuna hawa wengine kutwa vita kama gaza, Hatujiulizi kitu? kuna mahali tunakosea na hatuko tayari kwa huu mjadala kama jamii.
Karb boss,,,Hali si haliPole Sana ntarudi kutia neno hapa .
1. Bado hauna sifa ya kuitwa mwanamme/Baba
2. Umeongea uwongo
3. Hauna msimamo
4. Unamwogopa sana mkeo bila shaka kakuzidi nguvu
5. Ulevi haujaanza kwasababu ya mkeo, umeanza kitambo sana
6. Maisha yako ni ya duni
Mwisho: Huenda wewe ni mwalimu
Hatari sana Zee la uongo!Wanaume tunao wanawake wasio wake zetu, na wanawake wanaolewa na wanaume wasio wao, ndio maana kuna na drama za kutosha kwenye ndoa.. yani ni kama tumewekewa Laana na Baraka ila wengi huwa tunachagua Laana 😅😅😅
😅😅😅 kwani andiko lasemaje ?Hatari sana Zee la uongo!
Na wewe uache uongo sasa! 😀
Nimekuelewa vizuri kabisa na kukuunga mkono.😅😅😅 kwani andiko lasemaje ?
Nimewawekea mbele zenu BARAKA NA LAANA.. ila hata dunia ya leo watu wengi tunajichagulia Laana. Hizi seke seke ni matokeo ya watu kupenda laana kuliko baraka.. acha waisome namba
Naomba ushaur wako boss kuhus post
Ushauri ambao ntaanza kukupa ni huu.Karb boss,,,Hali si hali
Kinachoponza watu ni tamaa ( kama edeni pale Eva aliona mti wa ujuzi na mewa wafaa na kutamanika kwa macho - taabu ndio inaanzia hapo ). Tamaa ya macho na hisia za mwili ndio zimekuwa zinaongoza sana watu kuchagua wenza.. hisia zikiisha moto unawaka 😅😅Nimekuelewa vizuri kabisa na kukuunga mkono.
Mimi nilishawahi shuhudia watu wanavyofanya machaguzi ya wenza, unaona kabisa huyu anaenda kuangukia pua 😂😂
na kuna mwingine unaona kabisa huyu amelamba bingo!
1. Jipange kisha nenda kwao kama ni faini ya kukaa na binti yao muda mrefu pasipo utaratibu basi kawalipeNaomba ushaur wako boss kuhus post
😂😂😂😂Kinachoponza watu ni tamaa ( kama edeni pale Eva aliona mti wa ujuzi na mewa wafaa na kutamanika kwa macho - taabu ndio inaanzia hapo ). Tamaa ya macho na hisia za mwili ndio zimekuwa zinaongoza sana watu kuchagua wenza.. hisia zikiisha moto unawaka 😅😅
Upendo sio hisia, ila wengi wanaingia na hisia.. acha watu wanyooke hakuna namna.. kuna vijana humu JF wanatoka wamuoe Irene Uwoya 😅😅
Ushauri wangu kwanza fanyia kazi makosa yote ya nyuma yanayokuangusha mfano badili password,imarisha ulinzi WA Mali zako.Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,NAONA AIBU