Ndugu naomba ushauri akili imestack

Pole sana. Kwanza usiende watoto wahamishiwe shule hukohuko kwa mama yao, hakikisha unatoa matunzo kwa ushahidi.

Mpeleke ustawi wa jamnii ya huko kwao mkaandikishane vizuri tuu
 
Huyo mwanamke alishakuona zwazwa huna msimamo huna maamuzi unajihofia ndo maana na yeye anafanya upumbavu maana ashajua anakuweza Umeshindwa nini kubadili pin yako ya bank, hujamuoa kwanini usiachane nae ukatoa huduma za watoto wako tu, ukaombe msamaha wa nini mwanamke kahaba kaondoka mwenyewe maisha yamempiga badala aombe msamaha anataka akuchukulie advantage wewe Usiwe msenge broh
 
Mkuu huo ushaur wako Nataka kuuzingatia Lakini nafsi inakataa Mana watoto nawapenda,,,Naona Aibu kwa jamii kuwa nimeachana naye Mana jamii ya kwetu na kazini inajua Mana ninaheshimika,,,,,sasa Hivi sijasema mahali popote namna yule mwanamke alivyonitenda,,,,mambo yote hayo imekuwa siri yetu pamoja na wazazi wake Hata wazaz wangu hawajui lolote
 
Alivyonichukulia pesa mfululizo wakari nishamwambia ile ni pesa ya nini na kuichukua nilikasirika Sana,,,,,nikampigia baba yake usiku Kusa Nini huyu binti yako ananitania hivyo Kila siku?kila mwezi ni bora aende nyumban!!!! Baba yake kasema nimpandishe mwenye gari akiwa na watoto wake,,,,, asubuh tukaanza kulumbana mwishow nikamshikia kisu Kama kumtisha vile kuona Kama ataogopa na kujishusha Lakini wala!!!!,,,,sasa Hivi wananiita kwao tukayamalize kwa Nini nimeshikia kisu na kumfukuza na watot???
 
Wanawake wasumbufu hutumia watoto kama kinga ya kufanya ujinga wao. Ukionyesha huo udhaifu wa mapenzi kwa watoto ndio unazidi kuwaangamiza. Kwake hatojali watoto wanaumia vipi na matendo yake/yenu as long as anapata sehemu ya udhaifu wako kukukomoa au kukuumiza na kukuburuza.

Sisemi usiwapende na kuwajali watoto wako la hasha!
 
Kwanini usingempandisha kwenye gari peke yake ukabaki na watoto wako? Au unamuogopa baba yake maana naona ndio anaeendesha familia yako.
 
Red flags zote hizo bado unajishauri tu, achana nae somesha watoto nankila mtu aishi kivyake maana unapoelekea mnatafuta kuuwana
 
Ume sahau kusema mkeo ana vuta bangi
Havuti bangi mkuu,,,,nilichopendea Sana kwake kwa Muda wote tulioishi sijaona dalili ya cheating,,,hanywi pombe Ila Ana kiburi,dharau,kuomba msamaha ni kitu hajui Hata Kama KOSA ni lake,,,,,Nikimnunia kidogo kuonyeha nimekereka na yeye ananuna nisipojirudi mim NdO imetoka Hiyo!!!
 
Baba ake ameshajua binti yake ni mwanamke wa aina gani sio mwanamke wa kutulia na mwanaume au kuolewa na ndo maana amekwambia mpandishe kwenye gari na watoto wake means umuache abaki single mother ashike adabu ili ajifunzez wewe umeshindwa kujiongeza kwa ujinga wako bado unamng'ang'ania, Huyo mwanamke kashaona wewe ni Mpumbavu na anakumudu Nyumbani kwao wanakuita mkayamalize sio kwamba wanakupenda sana NO wameona wewe ndo mtu pekee (zwazwa) unaeweza kuvumilia upunguwani wa binti yao so wakikubali umuache ataolewa na nani,?na ndo maana wanataka uende ukachukue mzigo wako na kwa upumbavu wako japo huyo binti alikukosea utaenda mtayamaliza kwa sababu huna msimamo unatumia hisia kwenye sehemu za kutumia akili, Huyo mwanamke ameondoka na ameshaona yamemshinda pa kukimbilia ni wapi,? Ni kwako, Je atarudije na alikufanyia upumbavu kaona ngoja aanze drama uonekane wewe ndo mwenye makosa then umuombe msamaha aje aendelee kukuendesha kama kawaida yake sio kwamba hajui upumbavu alioufanya ila ni kua amekuona wewe ni mpumbavu kiasi cha kuvumilia upumbavu wake na Wazazi wake hapo nyumbani hawamtaki na ndo mana wanakuita myamalize uchukue takataka yako sio kwamba wanapenda mahusiano yenu Broh natamani niwe karibu nikupige mibao ufungue hizo akili wanaume hatuwi wapumbavu kama wewe Wanaume hatuendeshwi na hisia kwenye sehem za kutumia akili na kureason USIWE MPUMBAVU
 
MM NIKIONA MTU ANAKOSA AMANI YA MOYO NA AKILI KISA SIJUI WATOTO NAONA BADO WW UNASHIDA. ACHA KUFA TARATIBU AMUA MOJA UNALIA LIA HAPA NA HUNA MAAMUZI HUO NI UDHAIFU. MJIFUNZE KUJIANGALIA NYIE KWANZA,JIFUNZE KUJIPENDA WW KWANZA UKUTE HATA HAO WATOTO SIO WAKO ILA UNAKAZI YA KUJITUTUMUA KUWALEA. JIHESHIMU UTAHESHIMIWA MZEE!!!!MAMA YAO AKIONA UMUHIMU WAKO ATAKUESHIMU!!!HESHIMA HAILAZIMISHI,AFYA YAKO YA AKILI NI MUHIMU SANA.
WANAWAKE WOTE HAO UKO NJE NA BADO UNALIALIA HAPA ETI WAKWE WAMEKUITA UKAOMBE MSAMAHA, YAANI INAONYESHA NI KIASI GANI HAO WATU WAMEKUDHARAU😡😡
UANAUME UNAPIMWA NA MAAMUZI MAGUMU CHANGAMKA ACHA KULIALIA,PIGA BLOCK HAO NG'OMBE WOTE ALAFU CHUKUA MWANAMKE MWINGINE ANZA MAISHA NAYEYE AKIZINGUA PIGA CHINI TAFUTA MWINGINE YAANI MWENDO NI HUO MPAKA KIELEWEKE🤝
 
Huu utamaduni wa kuoa Bado mmeukumbatia mpaka Karne hii, huo utamaduni ushapitwa na wakati Mzee baba!
 
Ushahuri wa ki-gangstar... Umetisha master...
 
Punguzeni upole,huyo ungekuwa unamzibua makofi tangu mwanzo angenyooka
Hata kama sio mtu wa kupiga

Dah huyu mwenzetu kazidi aisee
Anatabia mbaya zote za kike na za kiume zote mbaya

Dah mwizi?? Mcheza kamari ana pigana??
Duh analeaje watoto
 
Sio kanda
Mi nishashuhudoa wa mbeya
Ana gombeza mume wake kama mtoto

Dah ni tabia tu ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…