Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo,uzuri wa mwanamke haukusaidii chochote,hilo ni tatizo na siyo dogo... mwanamke anajua mpaka gg,3+!!Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,NAONA AIBU
Lakini mkazaa Wakwanza, wapili, hadi watatu.....acha hizi Lame Excuses brother hazitakufikisha popote2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
Mkuu wewe ni Kabila la Msukuma? Na Huyo Mwanamke ni Mweupe sana?Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Nimegundua ni msukuma huyu na huyo mwanamke atakuwa ni Wa dodoma au upareni mweupe peee.Huyo mpaka akupige shoka la shingo ndio utaelewa
ππHatimaye umeandika!
Usicheze na Nyapu.....yaani ukiwa mtu wa nyapu sana utamuona mwanamke ndio kila kitu kwako no.matter what.Visanga vyote hivyo Bado tu Halmashauri ya kichwa chako unaomba ushauri!?? .... Huyo mwanamke ni kiboko ..ndio alikutoa ujana wako au kakuroga!?? Visa vyote hivyo bado unataka kwenda kuomba msamaha!??..... La msingi ni elimu ya watoto tu .... Na ole wako umuachie hao watoto hutoamini....
Pole sana mkuu, usijaribu kutumia nguvu kwenye jambo linaloweza kutatuliwa kwa upendo. Nguvu ni kwa ajili ya uhalifu tu.Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,NAONA AIBU
tunamhitaji Mungu kwa kweli atupatie neema yake.Ila tuwe serious kuishi na mtu mliokutana nae ukubwani ni shughuli pevu.
Huyo sio mkeo umeoa mke wa mtuNilimkuta bikra boss
Eti unaandika watoto huo mali ni zenu wote akienda kwenye sheria anakushinda mapema. Hkuna mtoto anayemiliki mali. Kazitoa wapi... kma unataka kumzidi ujanja?? Mwandike mama ako lkn je ndgu wakigundua jua hio mali itakuwa si ya kwako tena kma mama yenu.akifariki.Kabla ya yote nikulize una pesa ? Au upo zako Na mishahara ya Tamisemi , kama unayo pesa achana naye haraka sana , tafta mwanamke mwingine usichukue chochote mlichochuma naye , anzisha familia nyingine mimi huyu mzazi mwenzangu hazingui kivile , ila nakwambia nimeanzisha familia yingine yaani huko napewa Mahaba ya ajabu na single mother wa sasa nilichompatia ni kanyumba ka kuishi na mtaji kidogo tu ili ahudumie mtoto niliyezaa naye hakika linapokuja suala la mapenzi naenjoy sana ntaacha kuoa if I will be blessed to live longer huku duniani na nikifika miaka 70, niumize kichwa kuhusu pesa na mapenzi eti yaniendeshe hapana, huyu mwenzangu baada ya kujua nimejiweka mahali na single mother aisee amebadilika sana mtiifu na msikivu maana nimemuahidi kuongeza mke ramsi akileta mbwembwe na Mali zangu mimi Nina tofauti ndogo Sana na hakim yule chezaji ya psg nandika watoto na nawajulisha ndugu so Huwa anasikia tu mumeo huko kanzisha mradi fulani
Nakaziaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ kashajua kuwa wewe ni kiazi ujitambui haya kaombe msamaha haraka.
π dahKwanza kwa nini unamzalisha mwanamke watoto wanne?
Upo kwenye mashindano?