Ubeberu, ukoloni mamboleo hizi Ni falsafa za watu waliofilisika fikra.wenye mawazo ya kijimaCCM hawana hoja. Wamebananishwa kwenye kona, hawana pa kukimbilia. Utawasikia, siyo mwenzetu, mabeberu, ukoloni mamboleo... Kauli za jumla jumla tu ambazo hazina msingi. Hawawezi kuongelea ukiukwaji wa haki, Tume huru, wafanyakazi kutokupandishwa mishahara, biashara kufa, lugha chafu kwa akina mama... Hawawezi. Sasa wanategeemea wizi wao kupitia Tume, basi.
Ccm hawana hoja wala siasa. Ila wana madaraka na yamewalevya . Lissu ametendwa na mahayawani hawa na sasa wana hasira kwanini hakufa.Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.
Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!
Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.
Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!
Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.
Polepole, unakoelekea siko!
Ubeberu, ukoloni mamboleo hizi Ni falsafa za watu waliofilisika fikra.wenye mawazo ya kijimaCCM hawana hoja. Wamebananishwa kwenye kona, hawana pa kukimbilia. Utawasikia, siyo mwenzetu, mabeberu, ukoloni mamboleo... Kauli za jumla jumla tu ambazo hazina msingi. Hawawezi kuongelea ukiukwaji wa haki, Tume huru, wafanyakazi kutokupandishwa mishahara, biashara kufa, lugha chafu kwa akina mama... Hawawezi. Sasa wanategeemea wizi wao kupitia Tume, basi.
Usikonde eti ndo semina elekezi ya siku tanoHizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.
Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!
Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.
Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!
Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.
Polepole, unakoelekea siko!
Haiuziki hio hoja,wajibu hoja ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wao,na ishu ya kuzulumiwa watu ardhi karagwe mbona wapo kimya.Huo muda aliokuwa anaongea upupu, bora TBC 1 wangeweka hata kipindi cha mziki wa zamani na Chacha Maginga.
Yaani siku zote hizo wamekaa ndani wakijadili hoja za kumjibu Lisu, vichwa vyote ndivyo vimemtuma aongee ujinga?
Kwa mwelekeo wa mazungumzo yake, hizo tarehe 7 za mwisho anajiandaa kumtangaza Lisu kama shoga, rejea kauli yake baada ya kusema anasubiri siku saba za mwisho.

Hahahaha mapigo ndiyo yanaanza mpaka mtaomba po....niliwaambia humu kuwa kuhamasisha vurugu na kuzungumzia the Hague wengine hamjui kuwa anayehamasisha vurugu ndiye mtuhhmiwa nambari wani wa The Hague...halafu msiwaone wenzenu polisi na dola wake kimya ...mnachorwa tu...Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.
Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!
Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.
Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!
Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.
Polepole, unakoelekea siko!
Ndiyo ana kihalibu chama chetu,hivi tumekosa watu wabobozi wa siasa kweli hadi tunaokoteza wanaharakati kama polepole ndiyo apunguze Kura za Ndugu Magufuli?kukaa kote kimya siku Saba ndiyo chama chetu kimemtuma kusema hoja shaifu hivi? Maana polepole ni msemaji wa chama hakujituma mwenye.
Kumbe Lissu kweli kawapatia
Aliyempa Polepole kazi ya kumshambulia Lisu anakosea sana.Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.
Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!
Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.
Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!
Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.
Polepole, unakoelekea siko!
Nimemsikiliza leo yaani nilikuwa nafyonza muda wote. Anaongea pumba acha kabisa.Binafsi siwezi msikiliza Polepole hata Kwa dakika 5
Utaona mTz alieamini maneno ya Polepole baada ya tarehe 28 octoberCcm hawana hoja wala siasa. Ila wana madaraka na yamewalevya . Lissu ametendwa na mahayawani hawa na sasa wana hasira kwanini hakufa.
Hata ni mTz gani ataamini maneno ya Polepole ?!. Mtu kigeugeu wa siasa za hoja .