Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

CCM hawana hoja. Wamebananishwa kwenye kona, hawana pa kukimbilia. Utawasikia, siyo mwenzetu, mabeberu, ukoloni mamboleo... Kauli za jumla jumla tu ambazo hazina msingi. Hawawezi kuongelea ukiukwaji wa haki, Tume huru, wafanyakazi kutokupandishwa mishahara, biashara kufa, lugha chafu kwa akina mama... Hawawezi. Sasa wanategeemea wizi wao kupitia Tume, basi.
Ubeberu, ukoloni mamboleo hizi Ni falsafa za watu waliofilisika fikra.wenye mawazo ya kijima
 
Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.

Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.

Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!

Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.

Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!

Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.

Polepole, unakoelekea siko!
Ccm hawana hoja wala siasa. Ila wana madaraka na yamewalevya . Lissu ametendwa na mahayawani hawa na sasa wana hasira kwanini hakufa.

Hata ni mTz gani ataamini maneno ya Polepole ?!. Mtu kigeugeu wa siasa za hoja .
 
Usikonde eti ndo semina elekezi ya siku tano
 
Huo muda aliokuwa anaongea upupu, bora TBC 1 wangeweka hata kipindi cha mziki wa zamani na Chacha Maginga.

Yaani siku zote hizo wamekaa ndani wakijadili hoja za kumjibu Lisu, vichwa vyote ndivyo vimemtuma aongee ujinga?

Kwa mwelekeo wa mazungumzo yake, hizo tarehe 7 za mwisho anajiandaa kumtangaza Lisu kama shoga, rejea kauli yake baada ya kusema anasubiri siku saba za mwisho.
Haiuziki hio hoja,wajibu hoja ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wao,na ishu ya kuzulumiwa watu ardhi karagwe mbona wapo kimya.
Ccm awakujipanga kabisa.Na hii ndio hasara ya kuzuia watu kuongea 5 yrs
 
Hahahaha mapigo ndiyo yanaanza mpaka mtaomba po....niliwaambia humu kuwa kuhamasisha vurugu na kuzungumzia the Hague wengine hamjui kuwa anayehamasisha vurugu ndiye mtuhhmiwa nambari wani wa The Hague...halafu msiwaone wenzenu polisi na dola wake kimya ...mnachorwa tu...
 
Ndiyo ana kihalibu chama chetu,hivi tumekosa watu wabobozi wa siasa kweli hadi tunaokoteza wanaharakati kama polepole ndiyo apunguze Kura za Ndugu Magufuli?kukaa kote kimya siku Saba ndiyo chama chetu kimemtuma kusema hoja shaifu hivi? Maana polepole ni msemaji wa chama hakujituma mwenye.

Tuliwaambia mgombea wenu hauziki amkusikia Ni mweupe na mwepesi Sana kwenye reasoning kujenga hoja za ushawishi kulingana na eneo husika Sasa kijijini unazungumzia ndege, flyover, mabeberu hata awaelewi.Jiwe ajawahi shinda chochote bila kubebwa.
 
Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.

Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa.

Watanzania tunajua kuwa Tundu Lissu hakupenda kwenda kuishi huko Ulaya ambapo mnasema ana uraia. Kilichompeleka huko ni gharama za siasa zetu mufilisi za kuwa tayari kuua pale mnapokuwa hamkubaliani kwa hoja. Hivyo ni lazima tuwe na hofu ya Mungu maana Karma ni kweli!

Kitendo cha Polepole kumpakazia Tundu Lissu ushoga hadharani kwa kweli hakikubaliki. Alienda Ulaya kutibiwa baada ya kuumizwa na wasiopenda ushindani wa kisiasa! Kusema hivyo ni kukosa hoja mbadala za ushindani wa kisiasa na kutapelekea matatizo zaidi.

Nakuona unaongea kwa ukali kuhusu kada wenu aliyeuawa huko Njombe, kama wewe ulivyoumia basi kila mmoja wetu linapomfika tatizo anapata kipimo hicho hicho cha maumivu. Lazima tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu! Nchi hii siyo ya bata na kuku! Ni ya watu wenye miili sawa, na kila mmoja wetu linapomfika tatizo huumia kwa kiwango kile kile kilichokuumiza wewe! Tafadhali sana!

Mtaanza kuja na ujinga wa kudhalilisha utu wa watu kwakuwa tu mnataka madaraka. Hilo kamwe halikubaliki. Tufanye siasa za hoja zikitolewa tuhuma zijibiwe bila kudhalilishana kwa kiwango unachopanga kufanya. Hiyo ndiyo maana halisi ya siasa.

Polepole, unakoelekea siko!
Aliyempa Polepole kazi ya kumshambulia Lisu anakosea sana.

Polepole ni mtendaji katika CCM , na shughuli yake inatakiwa kuwa uenezi wa itikadi ya chama, si vinginevyo.

Huyu si mgombea wala mwanasiasa wa kuchaguliwa.

Polepole ni mtu wa mshahara.
Hana vision wala nguvu ya utekelaji wa ilani, yeye ni kupiga chapuo tu.

Bahati mbaya zaidi hana mvuto kulinganishwa na Nape.

Kitendo cha kumtumia si afya.
 
CCM wamebaki na vioja,hawana sera. Press nzima anamuongelea Lissu. Mara anamwita msukule ?Msukule unawafanya hadi wanaitisha Press ?Nimesikia Nec wamemwita Lissu kamati ya maadili. Lissu awe makini. Nikikumbuka yule mpinzani wa Putin aliyelishwa sumu kule Serbia. Lissu awe makini tena sana. CCM hawasiti kumuua tena this time kwa sumu.
 
Ccm hawana hoja wala siasa. Ila wana madaraka na yamewalevya . Lissu ametendwa na mahayawani hawa na sasa wana hasira kwanini hakufa.

Hata ni mTz gani ataamini maneno ya Polepole ?!. Mtu kigeugeu wa siasa za hoja .
Utaona mTz alieamini maneno ya Polepole baada ya tarehe 28 october
 
Kupitia uzi huu kuna jambo nimeligundua...siasa tuwaachie wanasiasa sisi tuandae vichinjio tu sio maneno tu huku jf.
 
Back
Top Bottom