matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kama hakuna utaratibu wa Chama wa kumfuata anayepinga basi mawazo haya ni ya kitamaduni zaidi ya kikanuni
Kumpinga Dr. Samia ni haki ya kila anayejisikia kufanya hivyo, kwasababu kila mtanzania anayo haki ya kumchagua mgombea anayemtaka.Sasa kama mgombea wa CCM mwizi, mjinga, muuaji, unataka watu wamkubali tu kwa sababu mgombea wa CCM?
Huyo na mburula km ww mtulize mikundu yenu hiyo. Huwezi kupinga hadharanu ndani ya chama chako, juzi tu ACT-Wazalendo wamemfukuza mwanachama wao kumpinga Mpina ambaye kimsingi amekosa vigezo kugombea urais kupitia ACT ni intruder tu. Huwezi kupingana na uamuzi ukabaki salamaUkweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.
Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?
Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.
CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Kwanini hukutoa ushauri wako huko huko ndani kwenu?? Huyu unaemtetea hivi sasa alishauriwa humo humo ndani. Kabla hujatoka hadharani, jisafishe kwanza. Kakaidi kwakuwa ana mamlaka. Katoka hivyo hivyo hadharani huku kajawa na uchafu wa kila aina. Nani wa kumtetea/kumsafisha? Apambane na hali yake.Hoja yangu haizungumzii tuhuma za ufisadi hapa, na kwa namna yoyote sijatetea mafisadi hapa.
Hii ni hoja ya dhana ya uchama, huwezi jiita mwanachama wa chama unachompinga mgombea wake.
For clarity sake, kama hukubaliani na chama chako unajitoa, ili upate uhalali wa kufanya kazi ya upinzani.
Hao nyumbu ndio hatari balaa, nani anaweza kumpinga Lissu? Hv wanamjua Lissu kweli ni kwa kuwa ameharibu mapema wangemchoka mapema sana. Haya juzi tu SMACT wamemtimua uanachama mwanachama wao kumpinga Mpina ambaye wala si kiongozi wa chama intruder tu amekimbia tokea CCM. Hao wapumbavu waache utoto hakuna demokrasia ya kipumbavu hivyoKumpinga Dr. Samia ni haki ya kila anayejisikia kufanya hivyo, kwasababu kila mtanzania anayo haki ya kumchagua mgombea anayemtaka.
Lakini mtanzania unapojinasibisha kuwa mwana CCM unapoteza haki ya kumpinga mgombea wa CCM badala yake unakuwa na wajibu wa kumtetea. Kumpinga mgombea wa CCM, ukiwa umevaa sare za CCM ni USALITI.
Ushauri wangu, kama mwana CCM, hukubaliani na mgombea aliyeteuliwa, mambo ya kufanya ni mawili. Moja, baki ndani ya chama ukiwa umenyamaza, Mbili, Ondoka kwenye chama ufanye kazi ya upinzani. Lakini kufanya upinzani ndani ya chama, hizo ni vurugu.
Kubali tu we ni mpumbavu na mbaya zaidi mbishiKwanini hukutoa ushauri wako huko huko ndani kwenu?? Huyu unaemtetea hivi sasa alishauriwa humo humo ndani. Kabla hujatoka hadharani, jisafishe kwanza. Kakaidi kwakuwa ana mamlaka. Katoka hivyo hivyo hadharani huku kajawa na uchafu wa kila aina. Nani wa kumtetea/kumsafisha? Apambane na hali yake.
Ameshaichafua na kuidhalilisha chama chenu vya kutosha. Sasa anataka kulichafua taifa letu kisa madaraka. Kwakuwa mmemshindwa ndani ya chama kutokana na nguvu aliyonayo Acha ashughulikiwe na wanachama wake nje ya chama. Ili kulinusuru taifa ni muhimu sana Wazalendo wa kweli kuungana.
Rejea maneno ya Mwl Nyerere " UPINZANI MKUBWA UTAANZIA/ UTATOKEA NDANI YA CCM PALE ITAKAPOKUWA IMEACHA MISINGI YA KUANZISHWA KWAKE".Kumpinga Dr. Samia ni haki ya kila anayejisikia kufanya hivyo, kwasababu kila mtanzania anayo haki ya kumchagua mgombea anayemtaka.
Lakini mtanzania unapojinasibisha kuwa mwana CCM unapoteza haki ya kumpinga mgombea wa CCM badala yake unakuwa na wajibu wa kumtetea. Kumpinga mgombea wa CCM, ukiwa umevaa sare za CCM ni USALITI.
Ushauri wangu, kama mwana CCM, hukubaliani na mgombea aliyeteuliwa, mambo ya kufanya ni mawili. Moja, baki ndani ya chama ukiwa umenyamaza, Mbili, Ondoka kwenye chama ufanye kazi ya upinzani. Lakini kufanya upinzani ndani ya chama, hizo ni vurugu.
We bwege ht angekufundisha malaika hutaelewa, we ****** hufundishiki maana umezaliwa mpumbavu na utakufa ukiwa hivyo hivyo. Popote pale huwezi kumpinga kiongozi wako tena hadharani ukibaki salama, hakuna ujasiri hapo zaidi ya uwendawazimu. We inaonekana ni mburula flani limetokea porini. Omba Lissu atoke korokoroni halafu tuone huo ujasiri wakoWewe nimtu mjinga,dhaifu,muoga na wakupuuzwa maana ukoradhi watu wafe,waifilisi nchi,watese watu kisa tuu unawapenda basi wabaki uongozini.
Majinga kama wewe yatafanya harakati zoote dhidi ya udhalimu,wizi,mauaji na mateso kwa watanzania yaendelee Kwa ustawi wa kina rostam nakundi lake la wahuni.
Upumbavu wangu utajidhihirisha Oct 29".Kubali tu we ni mpumbavu na mbaya zaidi mbishi
Ukishaanza matusi ujue ni wazi hoja iliyopo mezani siyo size yako.We
We bwege ht angekufundisha malaika hutaelewa, we ****** hufundishiki maana umezaliwa mpumbavu na utakufa ukiwa hivyo hivyo. Popote pale huwezi kumpinga kiongozi wako tena hadharani ukibaki salama, hakuna ujasiri hapo zaidi ya uwendawazimu. We inaonekana ni mburula flani limetokea porini. Omba Lissu atoke korokoroni halafu tuone huo ujasiri wako
Umeongea vyema comradeUkishaanza matusi ujue ni wazi hoja iliyopo mezani siyo size yako.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.
Ungekuwa mafi ngekunyiwa kisha kuflashiwa!! Pumbvu mpuuzi kenge mchafu we.We
We bwege ht angekufundisha malaika hutaelewa, we ****** hufundishiki maana umezaliwa mpumbavu na utakufa ukiwa hivyo hivyo. Popote pale huwezi kumpinga kiongozi wako tena hadharani ukibaki salama, hakuna ujasiri hapo zaidi ya uwendawazimu. We inaonekana ni mburula flani limetokea porini. Omba Lissu atoke korokoroni halafu tuone huo ujasiri wako
Ujinga mliokaririshwa ndiyo huu Sasa, mgombea hafai na kapandikizwa na mafisadi unataka watu wakae kimya? Utoke kwenye chama kwanini? kisa waovu wanakiteka chama?Hoja yangu haizungumzii tuhuma za ufisadi hapa, na kwa namna yoyote sijatetea mafisadi hapa.
Hii ni hoja ya dhana ya uchama, huwezi jiita mwanachama wa chama unachompinga mgombea wake.
For clarity sake, kama hukubaliani na chama chako unajitoa, ili upate uhalali wa kufanya kazi ya upinzani.
Nyerere ndio msaliti wa kwanza kumkataa mgombea wa Ccm jimbo la Musoma vijijini na kumfanyia kampeni mgombea wa Nccr Mageuzi Balozi Paulo Ndobho na akashinda uchaguzi mgombea wa ccm akaangushwa.Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.
Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?
Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.
CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Naunga mkono hoja.Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.
Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?
Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.
CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Usaliti ni kuvunja taratibu za chamaUkweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.
Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?
Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.
CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Sio ni umri mkuu unakufanya ushindwe kuchambua na kuonaNaunga mkono hoja.
Anachokifanya Polepole, kumpinga mgombea urais wa CCM huku yeye akiwa ni mwana CCM, ni usaliti.
P
Wewe uko zama za miaka ya 70Kumpinga Dr. Samia ni haki ya kila anayejisikia kufanya hivyo, kwasababu kila mtanzania anayo haki ya kumchagua mgombea anayemtaka.
Lakini mtanzania unapojinasibisha kuwa mwana CCM unapoteza haki ya kumpinga mgombea wa CCM badala yake unakuwa na wajibu wa kumtetea. Kumpinga mgombea wa CCM, ukiwa umevaa sare za CCM ni USALITI.
Ushauri wangu, kama mwana CCM, hukubaliani na mgombea aliyeteuliwa, mambo ya kufanya ni mawili. Moja, baki ndani ya chama ukiwa umenyamaza, Mbili, Ondoka kwenye chama ufanye kazi ya upinzani. Lakini kufanya upinzani ndani ya chama, hizo ni vurugu.
Hapana.Kumpinga Dr. Samia ni haki ya kila anayejisikia kufanya hivyo, kwasababu kila mtanzania anayo haki ya kumchagua mgombea anayemtaka.