Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligaidi bado linasota kolokoloni.Hawa hapo sio?View attachment 1908665
Acha kutia aibu basiWewe ni Gaidi wa Kike unafadhiri magaidi kama Mwenyekiti wako.
CCM ni baba la uovu wote.Leo mpka umeze ulimi,sema ccm mmejaa magaidi na majambaziView attachment 1908507
Na wewe lazima uhojiwe kwani mara kadhaa mmekuwa pamoja na hata katika wizi wa kura uchaguzi mkuu wa 2020 mlishirikiana!fake picture na aliyetuma anafuatiliwa
Wangeweza... tatizo ushahidi wa jamaa kuwa CCM ni mkubwa kuliko hiyo fake IDLakini Polisi nao ni mabingwa wa kutemper usije ukashangaa kukuta wamebambika na nyaraka za Chadema na kuwaambia wanandugu wa Gaidi waseme walitumwa na Mbowe.
Muhalifu mmoja maaskari wanne tena hapo huyo muhalifu yuko wazi wazi katikati ya barabara hakujificha.Hujui lolote kuhusu uaskari, hujui ni mazingira gani wanafyatua risasi kwa nia ya kuua au wanafyatua kwa nia ya kukamata mhalifu akiwa hai. Ila upo unasema unayoyasema. Hahaha, mdomo wa binadamu huo.
Wewe ndo acha kutimia filamu zako za utotoni za kivita zilizotafsiriwa kukosoa weledi wa askari wanaokulinda.Muhalifu mmoja maaskari wanne tena hapo huyo muhalifu yuko wazi wazi katikati ya barabara hakujificha.
Je wahalifu wangekuwa watano kwenye maficho ingekuwaje ndugu?
Fikiria mara mbili mambo ya theory za darasani ziweke pembeni
Una maana yule waziri wa Toza akamatweikija kutokea ndugu wa waziri kafanya hivi, waziri atakamatwa ??
Majeshi kutulinda raia ndio kazi yao waliyoajiriwa nayo na kulipwa mshahara,ile ni ajira na inagombaniwa na watu wengi.Wewe ndo acha kutimia filamu zako za utotoni za kivita zilizotafsiriwa kukosoa weledi wa askari wanaokulinda...
AtahojiwaSasa hawa ndugu zake wanahusikaje??
Siku hizi unaweza ishi na ndugu lakini hujui kabisa analopanga!!
Je ikija kutokea ndugu wa waziri kafanya hivi, waziri atakamatwa ??
Sawa.Majeshi kutulinda raia ndio kazi yao waliyoajiriwa nayo na kulipwa mshahara,ile ni ajira na inagombaniwa na watu wengi.
Kwenye madhaifu yasemwe tusiweke siasa...
Ilikuwa ni lazima. Hata marafiki zake nao watatafutwa, hiyo ni njia tu ya upelelezi na kutaka kuujua ukweli.
Haishangazi
Bila shaka umesahau yale mafunzo wanayopewa kile kikundi cha kigaidi UVCCM. Je unahitaji ushahidi wa picha au video? Chagua mwenyewe.Kuna swali hapa sijaona watu wakiliongea yule ndugu alikua anatumia silaha vizuri sana je alipata wapi mafunzo hayo kama ni mtu leo hii ameshika silaha hawezi kufanya yale ambayo tumeshuhudia kuna mengi yakuhoji
CCM elezeni ni wapi mna-train hawa MAGAIDI! Yani mnatoa watu SOMALIA kuja kuwapa nafasi kwenye chama ili waje kuwa MAGAIDI! Kwa sasa mnataka kumchafulia Mama utawala wake, mbona hamkutumia kipindi cha JPM! View attachment 1908971fake picture na aliyetuma anafuatiliwa