Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vita vikali vya maneno vimetokea kwenye bunge la knesset nchini Israel baina ya wabunge wahafidhina wa kiyahudi na makundi ya ndugu za mateka wanaokisiwa 247 walioko Gaza.
Mapambano hayo yamesababisha kushindikana kupitishwa sheria ya kifo kwa wafungwa wa kiarabu walioko kwenye magereza ya Israel ambao ni miongoni mwa hadidu rejea za mazungumzo ya kusitishwa kwa vita yanayoendelea Qatar.
Katika maneno yao makali ndugu hao walisema yanini kupitisha sheria ya kifo kwa waarabu badala ya kutilia mkazo juhudi za kuokoa maisha ya wayahudi.Tamko hilo lilikuwa na maana ya kuhimiza harakati za kusitisha vita ili kuokoa maisha ya mateka.
Kwa upande wa wahafidhina walisikika wakifoka kwa nguvu kuwaambia upande wa pili kuwa na wao wametekwa na kifikra na Hamas kwani kusitisha vita kutawapa nguvu Hamas kuendeleza mashambulizi yao.
Israeli Knesset Committee Faces Turmoil Over Death Penalty Proposal for Palestinian Prisoners