Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Kuna watu wanaona kama ni propaganda wakiamini Israel ni taifa teule.In the past 72 hours, Hamas DESTROYED 60 ISRAELI military vehicles, including 10 personnel carriers.
Siku askari wa IDF wakianza kukimbia vita kuogopa vifo ndio wataelewa.Wao ndio wnauona ukweli mbele yao.Marafiki zao wakiwaona wamelala chini hawafurukuti hakutakuwa na kusikiliza maneno ya Netanyahu.