Kuna watu wanaona kama ni propaganda wakiamini Israel ni taifa teule.
Siku askari wa IDF wakianza kukimbia vita kuogopa vifo ndio wataelewa.Wao ndio wnauona ukweli mbele yao.Marafiki zao wakiwaona wamelala chini hawafurukuti hakutakuwa na kusikiliza maneno ya Netanyahu.
Nalazimika kuziamin taarifa zako kwa sabab km kwel wateule wangekuwa kwel wanadhibit Gaza inakuaje mpaka sasa wameshindwa kujua walipo mateka ilhali wapo humohumo