Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuHuu upepo uache upite kwa muda fulani, kwasasa unaweza kuliamsha dude hata hivyo wageni ni baraka ilitakiwa kabla ya hao wageni kuja ungeli mwandaa mkeo umuhimu wa wageni kutoa taarifa mapema kumbe hata wakitoa taarifa watakuja tu yaani kwako wewe taarifa haikatazi mtu kuja ila lengo lako ni kujiandaa, hebu tubadilishane uzoefu huu, mimi kuna wakati wageni walifululiza tena wakati mdogo wake wife yupo nikasema mwezi huu tuna mfululizo wa wageni na haikuwa kwa nia mbaya kwa vile nilikuwa na uwezo lakini jibu alilonipa lilikuwa kwa mtindo kufoka, what"s wrong with that, I can feed you from 1-30, bahati nzuri wife alikuwa muajiliwa alimaanisha kwani kuna tatizo gani naweza kulisha kuanzia tarehe 1 hadi 30, mimi ilibidi niwe mpole jilikuwa 1991, je kuna kitu umejifunza kwa maelezo hayo, karibu
Mazungumzo huwa yapo chiefWewe na mkeo huwa hamzungumzi..?? Maana katika maongezi yenu ya kawaida ya kila siku ndipo humo hizo taarifa zingekuwa zinakufikia..!!
Hamuwezi kuwa mnaongea kila siku kisha kuna wageni kwako na mkeo asiseme chochote kabisa, it doesn't sit well with me kiukweli..!!
Na mambo mengine anakushirikisha kama kawaida mkuu..? Ama mnaishi tu kama watu mnaoshea nyumba na siyo familia ya mke na mume..? MAWASILIANO yenu yapoje mkuu..?
Simamia nyumba yako mkuu.Kwa hiyo ushauri wako ni nini chief?
From day oneLearn to manage your House
What goes around comes around, uyafanyayo kwa wengine huwa yanakurudia , (yanakufanya wewe hahahaa)Wewe mwenyewe ukienda kwako hutoi taarifa umesema na unaona ni kawaida tu, usilaumu kaka, ni mtindo wa maisha uiiouanzisha mwenyewe tulia uuishi!
Kutoa taarifa kwenda kwako hakukuondolei ubaba wako wala haukushushii cheo chako home, ni ustaarabu tu.
Usilalamike kwa mkeo kutokukushirikisha mambo. Anajifunza kwako
Mkuu, inaonyesha UNAMUOGOPA MKEO, kitu ambacho ni sahihi. Accept it or Not.Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
Huyo anadhani ni vuvuzela
Umesomeka vyema chiefMkuu, inaonyesha UNAMUOGOPA MKEO, kitu ambacho ni sahihi. Accept it or Not.
Jingine pia inaonekana umeoa COOPERATE WOMAN, Yaani Mke mfanyakazi, hivyo ndio maana UNAMUOGOPA.
USHAURI: Kwenye Ulimwengu wa Mapenzi, ukiona Mwanaume unahofia kumkwaza Mke wako, basi ni ishara kuwa ameshakupanda kichwani, kwasababu maamuzi mengi ya KIUME huwa hayawafurahishi wanawake, na mara zote ndio maamuzi sahihi.
Fanya maamuzi wa kuweka sheria katika nyumba yako na hakikisha umeyasimamia. Swala la kumkwaza au kuto-mkwaza hilo muachie yeye. Wewe weka sheria na zisimamie FULLSTOP.
Be a Man, mwanaume hupaswi kukosa Uhuru nyumbani kwako.
Nimeipenda hiiMkuu, inaonyesha UNAMUOGOPA MKEO, kitu ambacho ni sahihi. Accept it or Not.
Jingine pia inaonekana umeoa COOPERATE WOMAN, Yaani Mke mfanyakazi, hivyo ndio maana UNAMUOGOPA.
USHAURI: Kwenye Ulimwengu wa Mapenzi, ukiona Mwanaume unahofia kumkwaza Mke wako, basi ni ishara kuwa ameshakupanda kichwani, kwasababu maamuzi mengi ya KIUME huwa hayawafurahishi wanawake, na mara zote ndio maamuzi sahihi.
Fanya maamuzi wa kuweka sheria katika nyumba yako na hakikisha umeyasimamia. Swala la kumkwaza au kuto-mkwaza hilo muachie yeye. Wewe weka sheria na zisimamie FULLSTOP.
Be a Man, mwanaume hupaswi kukosa Uhuru nyumbani kwako.
Unahisi mkeo hapo sio kwake? Nae atoe taarifa ya nini sasa kama mtu hatakiwi kutoa taarifa kwake?Sasa kwangu natoa taarifa ya nini mkuu?
Ni mtu wa Tabora? Kama ndio nikupe pole tu hapo kazi unayoSahihi kabisa chief
Na baadhi ya wagogo + warangiHii tabia ipo sana kwa wanawake wa kinyamwezi wanapenda kubebelea familia kupitiliza na mume hahusishwi
Kuna baadhi ya ke ukioa ni hasaraNa baadhi ya wagogo + warangi