Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

Sawa mkuu
 
Mazungumzo huwa yapo chief
 
Umeshindwa ku-manage nyumba yako, usipewe hata ukatibu kata mkuu. Nyie ndio mkipewa uongozi wa nchi mnatuingiza chaka coz hata familia zenu mmeshindwa kuziongoza
Kwa hiyo ushauri wako ni nini chief?
 
What goes around comes around, uyafanyayo kwa wengine huwa yanakurudia , (yanakufanya wewe hahahaa)
 
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
Mkuu, inaonyesha UNAMUOGOPA MKEO, kitu ambacho ni sahihi. Accept it or Not.

Jingine pia inaonekana umeoa COOPERATE WOMAN, Yaani Mke mfanyakazi, hivyo ndio maana UNAMUOGOPA.

USHAURI: Kwenye Ulimwengu wa Mapenzi, ukiona Mwanaume unahofia kumkwaza Mke wako, basi ni ishara kuwa ameshakupanda kichwani, kwasababu maamuzi mengi ya KIUME huwa hayawafurahishi wanawake, na mara zote ndio maamuzi sahihi.

Fanya maamuzi wa kuweka sheria katika nyumba yako na hakikisha umeyasimamia. Swala la kumkwaza au kuto-mkwaza hilo muachie yeye. Wewe weka sheria na zisimamie FULLSTOP.

Be a Man, mwanaume hupaswi kukosa Uhuru nyumbani kwako.
 
Umesomeka vyema chief
 
Nimeipenda hii

Na asishangae behind the scene mke analalamika yan mume wangu hata nikifanya jambo gani yan hasemi kabisa?
 
Japo umedeclare kwamba huna uchoyo ila una dalili za uchoyo. Hiyo bajeti unayompa kila mwezi alikwambia haitoshi? Mbona inaonekana kama anaweza kumanage. Ukishaanza kumpangia wife kuhusu ndugu zake nakuhakikishia ndugu zako watapata tabu sana hapo kwako. Hayo mambo madogo sana hebu achana nayo. Mwenyezi Mungu anatokuongezeeni riziki kwa kuwakirimu wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…