Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

fact aiseee uo ndo uwanaume hongera babu kwa kua ALPHAMAN
sasa wewe ndo kchwa cha familia yan huyu mwenye hoja anapashwa kujfunza kwako
suala n bajet na ustaarabu mengne n ziada na akubaliane na mazngira ya nyumba huska
 
Mkuu taarifa ni muhimu asee
Ipo siku atakuja augue kwako na wewe huna taarifa.

Mwambie wife kuwa hii tabia nimeivumilia Sasa iwe mwisho akija mgeni lazima atoe taarifa mapema.

Pia wewe kwenda kwako bila kutoa taarifa sio lazima Hilo hapo ni kwako utoe taarifa ama uitoe yte heri
 
Nimempa lugha ya kuongea Kwa namna hiyo, maanajamaa kweli anaonekana ni muoga Kwa mkewe na mkewe kagundua hivyo anatumia udhaifi wa jamaa. Hao wageni lazima wanatoka na mtaji wa kutosha hapo.
 
Nimempa lugha ya kuongea Kwa namna hiyo, maanajamaa kweli anaonekana ni muoga Kwa mkewe na mkewe kagundua hivyo anatumia udhaifi wa jamaa. Hao wageni lazima wanatoka na mtaji wa kutosha hapo.
kwel.kaka
alaf kuna changamoto za.kbinaadam kama kuumwa na kazalika sasa unapokua huna taaarfa aiseeeee liktokea la kutokea utakosa pakuanzia so its better mkewe abadlishe huo mfumo hata kama anamueza mumewe lakn respect muim
pia naona jamaaa hakaag na mchuksi wake ndo mana daaaaah shame upon him
 

Bora wageni ni wa kike ,wangekuwa wa kiume wengine wanasema huyu nio Brother wangu au Mjomba kumbe ni Mambo ya Bizman - Ametoroshwa.
 
Ongeza bustani nyuma ya nyumba na punguza vitu Kwa friji . Kuja waje tu ila lazima taarifa upewe hiyo inakuwa inaonyesha mipaka ya mambo ndani ya nyumba mm huwa nataarifiwa mwezi kabla maana nikitoa bajeti ya mwezi hiyo imetoka hivyo wakiover spend hiyo ni juu yao . Lazima boundaries zieshimiwe only pirates ndo uwa hawaeshimu boundaries
 
Iko wazi apo mzeebaba...kichwa cha familia n mwanamke. U need to stepup and take the lead.
 
💥💥💥TATIZO HILI HAPA💥💥💥

1. Wewe ni mume dhaifu
2. Mkeo anakujua kuwa u dhaifu
3. Baba na mume anayejielewa huhakikisha mke na watoto wanajua misimamo yake.
4. Mkeo ni kilaza, alitakiwa akutaarifu mapema
5. Mkeo anatakiwa awadhibiti nduguze huu sio upendo ni uzuzu
6. Umeo mnyamwezi? Mrangi?
Mnyiramba?
Mrombo?
Moja ya makabila yanapenda kufuatana kama kondoo.

Sipendagi ujinga huu
 
Nina Rafiki yangu Bwana yule Ndugu wa Mke wakija kwake anapita nao wakija wa kiume anamfanyia vituko hadi anasepa mwenyewe..... Anasema NDUGU AKIJA AJE NA KUSEPA SIO KUWEKA HANDBREAK Hii story imenikumbusha Bwana yule🤠🤠🤠
Elezea kidogo kuhusu hao wakike anawatomba sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…