Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

Fya-fyafya

Member
Joined
May 2, 2019
Posts
43
Reaction score
125
Habari ndugu,

Najikita moja kwa moja kwenye swali, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HESLB (board)?
 
Ingia TRA PAYE Calculator for Tanzania Mainland kupata PAYE ni kiasi gani. Hakikisha umetoa % ya NSSF/PSSSF kabla ya kuingia kwa calculator.

Then utaondoa 15% Loan Board na makato mengine.
 
Ndio maana nikasema wengi humu ni walimu , professional nyingine kuchapia spelling ni kawaida sana na professor aangalii huo ujinga anachoangalia ile concept ambayo ulikusudia kuifikisha.

Harafu ukibase sana kwny matumizi ya English unajikuta unasahau kuandika maneno ya kiswahili fasaha.
 
Uongo
 
Back
Top Bottom