Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

3.25M ni mshahara wa mtu kweli,ss anaishije mbona ni ka hela ka chai tu ukitoa makato.

Waajiri wengine hawana huruma unakuta huyu jamaa ni daktari kwa mshahara huo inamaana hata budget ya bia haijazingatiwa ndio tatizo la kuwa na boss mlokole. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Habari ndugu.
Najikita moja kwa moja kwenye swali, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?
Kwa huo msharaha na kama unakatwa bima ya afya, slip yako itakuwa kama ifuatavyo

Basic salary 3,250,000 - Pension 325,000 - NHIF 97,500 - HELSB 487,500 - PAYE 759,600 = Take home TZS 1,580,400

Unaweza tembelea www.vabusiness.co.tz kwa ufafanuzi zaidi
 
3.25M ni mshahara wa mtu kweli,ss anaishije mbona ni ka hela ka chai tu ukitoa makato.

Waajiri wengine hawana huruma unakuta huyu jamaa ni daktari kwa mshahara huo inamaana hata budget ya bia haijazingatiwa ndio tatizo la kuwa na boss mlokole. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndugu, hukupaswa kujibu namna hiyo hata kidogo. Kama unadhani natania nimepata kazi kwenye reputatory INSTITUTION iliyoko mkoa wa Dar es salaam. Kama ni wivu basi endelea kuwa nao. Tena nakushangaa unanionea wivu mimi mtu usiyenijua. 😝
 
3.25M ni mshahara wa mtu kweli,ss anaishije mbona ni ka hela ka chai tu ukitoa makato.

Waajiri wengine hawana huruma unakuta huyu jamaa ni daktari kwa mshahara huo inamaana hata budget ya bia haijazingatiwa ndio tatizo la kuwa na boss mlokole. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mzee udalali unalipa kiasi hicho eeh[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huo msharaha na kama unakatwa bima ya afya, slip yako itakuwa kama ifuatavyo

Basic salary 3,250,000 - Pension 325,000 - NHIF 97,500 - HELSB 487,500 - PAYE 759,600 = Take home TZS 1,580,400

Unaweza tembelea www.vabusiness.co.tz kwa ufafanuzi zaidi
Baada ya hapo unaanza mlolongo mwingine wa kodi ya nyumba, umeme, maji, ada ya shule (mtoto/watoto), fungu la kumi, michango (misiba, harusi, vicoba), mtonyo kwa wazazi, kilaji kama ni mtu wa gambe...

Halafu bado utaombwa na za kutolea...Damn!!!
 
Back
Top Bottom