Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

Mbona hiyo shule haipo Tegeta?? Ipo mbuyuni njia panda ya kwenda kunduchi na tegeta!
Ndugu, hukupaswa kujibu namna hiyo hata kidogo. Kama unadhani natania nimepata kazi pale Haven Peace Academy ( HOPAC) mkoa wa Dar es salaam maeneo ya Tegeta ( Mbuyuni) Kama ni wivu basi endelea kuwa nao. Tena nakushangaa unanionea wivu mimi mtu usiyenijua. [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wako utakuwa kati ya 20-25 ,huo umri ni ambao kijana anajikuta anawashwa washwa tu,akili haitulii anatamani mpapaso tu.

Unadhani JF kuna watoto tu,unatukana tukana nyuma ya keyboard siku tukikutana unakuta mm ndio yule ninaye share na mama yako shuka moja sijuhi utafanyaje?
Wewe Control vidole hivyo
 
Baada ya hapo unaanza mlolongo mwingine wa kodi ya nyumba, umeme, maji, ada ya shule (mtoto/watoto), fungu la kumi, michango (misiba, harusi, vicoba), mtonyo kwa wazazi, kilaji kama ni mtu wa gambe...

Halafu bado utaombwa na za kutolea...Damn!!!
Kama ulikuwa mnufaika wa mkopo toka HELSB, uzuri wa mshahara mkubwa ni kwamba unaumaliza chapu chapu mkopo huo as long as unakatwa Big amount.
 
Kwa watumishi wa serikali wana contribute 5% na mwajiri ana contribute 15% kufikia 20% kwa mfuko wa hifadhi ya jamii ,wakati sisi sekta binafsi tunachangia 10% muajiri anaweka 10% kama kawaida.

Payee unaweza ipata kwa kucalculate kiasi unachochangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Let say upo mfuko X ambao unachagia 10% kwnye hifadhi ya mfuko wa jamii,therefore utachangia Tsh 325,000/= kutoka kwenye mshahara wako wa 3.25M.

If you want to know the payee by referring TRA calculator then utachukua ( Salary
-325,000/=) you get 2,925,000/= then plug this figure to tra calculator to get payee as 756,900/=

Alternatively
Payee=98,100+30%(Payable Tax-720,000).Meza hiyo.
=98,100+0.3(2925000-720,000)
Therefore payee is 756,900/=
=3,250,000-756,900
Salary is 2,493,100/= before further deduction to
NHIF=6%(3%employee+3%employer)
Loan Board=15%
Others
Therefore NHIF=3%×3.25M=97,500/=
Loan Board=15%×3.25M=487,500/=
Net Salary/Take Home=Gross-Pension Fund-Payee-NHF-Loan Board
=3.25M-325,000-759,600-97,500-487,500
Take home salary is 1,580,400/= sawa na 48.62% makato yote ni 51.37%.
 
Kwa watumishi wa serikali wana contribute 5% na mwajiri ana contribute 15% kufikia 20% kwa mfuko wa hifadhi ya jamii ,wakati sisi sekta binafsi tunachangia 10% muajiri anaweka 10% kama kawaida.

Payee unaweza ipata kwa kucalculate kiasi unachochangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Let say upo mfuko X ambao unachagia 10% kwnye hifadhi ya mfuko wa jamii,therefore utachangia Tsh 325,000/= kutoka kwenye mshahara wako wa 3.25M.

If you want to know the payee by referring TRA calculator then utachukua ( Salary
-325,000/=) you get 2,925,000/= then plug this figure to tra calculator to get payee as 756,900/=

Alternatively
Payee=98,100+30%(Payable Tax-720,000).Meza hiyo.
=98,100+0.3(2925000-720,000)
Therefore payee is 756,900/=
=3,250,000-756,900
Salary is 2,493,100/= before further deduction to
NHIF=6%
Loan Board=15%
Others
Sasa kwanini hukujibu mwanzo ukaanzia kupuliza mabangi yako 😂😂😂
 
Back
Top Bottom