Kwa watumishi wa serikali wana contribute 5% na mwajiri ana contribute 15% kufikia 20% kwa mfuko wa hifadhi ya jamii ,wakati sisi sekta binafsi tunachangia 10% muajiri anaweka 10% kama kawaida.
Payee unaweza ipata kwa kucalculate kiasi unachochangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Let say upo mfuko X ambao unachagia 10% kwnye hifadhi ya mfuko wa jamii,therefore utachangia Tsh 325,000/= kutoka kwenye mshahara wako wa 3.25M.
If you want to know the payee by referring TRA calculator then utachukua ( Salary
-325,000/=) you get 2,925,000/= then plug this figure to tra calculator to get payee as 756,900/=
Alternatively
Payee=98,100+30%(Payable Tax-720,000).Meza hiyo.
=98,100+0.3(2925000-720,000)
Therefore payee is 756,900/=
=3,250,000-756,900
Salary is 2,493,100/= before further deduction to
NHIF=6%
Loan Board=15%
Others