Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

Mbona hiyo shule haipo Tegeta?? Ipo mbuyuni njia panda ya kwenda kunduchi na tegeta!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Control vidole hivyo
 
Baada ya hapo unaanza mlolongo mwingine wa kodi ya nyumba, umeme, maji, ada ya shule (mtoto/watoto), fungu la kumi, michango (misiba, harusi, vicoba), mtonyo kwa wazazi, kilaji kama ni mtu wa gambe...

Halafu bado utaombwa na za kutolea...Damn!!!
Kama ulikuwa mnufaika wa mkopo toka HELSB, uzuri wa mshahara mkubwa ni kwamba unaumaliza chapu chapu mkopo huo as long as unakatwa Big amount.
 
Kwa watumishi wa serikali wana contribute 5% na mwajiri ana contribute 15% kufikia 20% kwa mfuko wa hifadhi ya jamii ,wakati sisi sekta binafsi tunachangia 10% muajiri anaweka 10% kama kawaida.

Payee unaweza ipata kwa kucalculate kiasi unachochangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Let say upo mfuko X ambao unachagia 10% kwnye hifadhi ya mfuko wa jamii,therefore utachangia Tsh 325,000/= kutoka kwenye mshahara wako wa 3.25M.

If you want to know the payee by referring TRA calculator then utachukua ( Salary
-325,000/=) you get 2,925,000/= then plug this figure to tra calculator to get payee as 756,900/=

Alternatively
Payee=98,100+30%(Payable Tax-720,000).Meza hiyo.
=98,100+0.3(2925000-720,000)
Therefore payee is 756,900/=
=3,250,000-756,900
Salary is 2,493,100/= before further deduction to
NHIF=6%(3%employee+3%employer)
Loan Board=15%
Others
Therefore NHIF=3%Γ—3.25M=97,500/=
Loan Board=15%Γ—3.25M=487,500/=
Net Salary/Take Home=Gross-Pension Fund-Payee-NHF-Loan Board
=3.25M-325,000-759,600-97,500-487,500
Take home salary is 1,580,400/= sawa na 48.62% makato yote ni 51.37%.
 
Sasa kwanini hukujibu mwanzo ukaanzia kupuliza mabangi yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…