Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 202
- 167
Ulianza nao toka vifaranga au ulinunua tayari wakubwa?Mkuu asante sana umekuja wakati muafaka kwa sababu namimi nina changamoto yangu.
Kuku wangu (Malawi Breed) wameshafikisha umri wa kuanza kutaga toka mwaka jana mwezi 11 lakini mpaka leo hawajaanza kutaga. Yan ukiingia bandani unaokota mayai hafiki 8. Kuku wap 150 na wanapata chakula na mboga za majani enye mchanganyiko safi na salama. Tatizo ni nini?
Mchanganyiko wako tuuone, ili tutoe ushauri.